muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,835
- 14,727
Duu kijana unachapiwa....stuka.
.hata ufanyeje utachapiwa tu na mjini hapa unakuta
Mwanamke hana mabwana watatu mpka 4
Hbr wakuu?
Siku moja nilichukua simu ya mpenzi wangu nikakuta mesegi alizokua anachat na jamaa, alikua akimwita mpenzi na majina mengne yalonipa mashaka.
Niliongea na mpenzi wangu akakataa na kusema jamaa ni rafiki ake tu eti wamezoea kuchat vile, pia marafik zake walimtetea sana.
Sikuridhishwa na majibu yale ikabidi nimwambie amwite jamaa, alivyokuja akaeleza kuwa ni marafiki tu na akaomba msamaha kuwa hatorudia, nilimwambia amkome mpnz wng.
Kinachoniumiza zaid hivi karbuni ameanza kumtag mpenzi wangu kila picha anayoeka fb, nimeumia zaidi alipoeka picha ya maandishi iliyoandikwa LINI UTAKUWA WANGU na kumtag mpenzi wangu na dada mwingne.
Napoongea na mpenzi wangu anaomba sana msamaha na kusema atamzuia jamaa hiyo tabia.
Mi sielewi la kufanya ndugu zangu na huyu nampenda sana, naombeni ushauri.
Ahsanteni.