Nahisi naibiwa ,naombeni ushauri

Nahisi naibiwa ,naombeni ushauri

Achana nae huyo. Ila kunamawili hapo

1. Unaweza ukawa haumpigi vizuri MANDINGO game.
2. Au msichana wako anahulka na mabishoo flani kama wasichana wengi wa siku hizi walivyo.

Hiyo inatukuta sana mkuu. Sema ukiona hvyo usiwe unalialia sana kwa msichana wako. Be a man, piga game takatifu na ya ukweli mixer 0652... then sepa bila hata kumuuliza wala nini. Akikuuliza mwambie upo bize.
 
Hbr wakuu?

Siku moja nilichukua simu ya mpenzi wangu nikakuta mesegi alizokua anachat na jamaa, alikua akimwita mpenzi na majina mengne yalonipa mashaka.

Niliongea na mpenzi wangu akakataa na kusema jamaa ni rafiki ake tu eti wamezoea kuchat vile, pia marafik zake walimtetea sana.

Sikuridhishwa na majibu yale ikabidi nimwambie amwite jamaa, alivyokuja akaeleza kuwa ni marafiki tu na akaomba msamaha kuwa hatorudia, nilimwambia amkome mpnz wng.

Kinachoniumiza zaid hivi karbuni ameanza kumtag mpenzi wangu kila picha anayoeka fb, nimeumia zaidi alipoeka picha ya maandishi iliyoandikwa LINI UTAKUWA WANGU na kumtag mpenzi wangu na dada mwingne.

Napoongea na mpenzi wangu anaomba sana msamaha na kusema atamzuia jamaa hiyo tabia.

Mi sielewi la kufanya ndugu zangu na huyu nampenda sana, naombeni ushauri.

Ahsanteni.

Nilijua ni mke kumbe mpenzi!
 
Ukiona manzi ako anafatiliwa na wengi jisifie either ni mrembo au ni mkarimu,hongera umefanya uchaguzi sahihi.
 
Nenda sokoni ununue kamba iliyosokotwa vzr, tafuta mti mkubwa na mnene, funga kamba vzr ujinyonge! Utaondokana na bughuza zote hizo! Tena wahi kabla soko halijafungwa.
 
Hbr wakuu?
Siku moja nilichukua simu ya hmpenzi wangu nikakuta mesegi alizokua anachat na jamaa, alikua akimwita mpenzi na majina mengne yalonipa mashaka.

Niliongea na mpenzi wangu akakataa na kusema jamaa ni rafiki ake tu eti wamezoea kuchat vile, pia marafik zake walimtetea sana.

Sikuridhishwa na majibu yale ikabidi nimwambie amwite jamaa, alivyokuja akaeleza kuwa ni marafiki tu na akaomba msamaha kuwa hatorudia, nilimwambia amkome mpnz wng.

Kinachoniumiza zaid hivi karbuni ameanza kumtag mpenzi wangu kila picha anayoeka fb, nimeumia zaidi alipoeka picha ya maandishi iliyoandikwa LINI UTAKUWA WANGU na kumtag mpenzi wangu na dada mwingne.

Napoongea na mpenzi wangu anaomba sana msamaha na kusema atamzuia jamaa hiyo tabia.

Mi sielewi la kufanya ndugu zangu na huyu nampenda sana, naombeni ushauri.

Ahsanteni.

Ujanja kunywa supu ya pweza
 
HICHO KICHENCHEDE umeshindwa kukidhibiti kutokana either una asili ya upole au uyo mwanamke ni mjanja kuliko wewe..
biti la mwanaume ni biti tosha...ukimwambia acha ana acha ,akijaribu bas ni kwa siri sana bila yako kufahamu
mimi nikichimba biti ndani ya nyumba adi mama watoto anajua nataka kuua mtu...dadadekii, make sense of what you say..

au sio mkeo uyo ni kachumba tuu

Mchimbe bit kal la kiume kama mkuu alvyosema
option b.
abadilshe line ya sim na fb account akishmdwa tupa kule usiendele kung'ang'ania coz she is good for nothing
 
Afuu usipende kushika shika sim ya mpenzio ni preshaaa!nobody z perfect!haswaa zama hizi mkakaaa!

ni kwel ucwe na mazoea ya kushka simu ya mpenz wako but haimanish usiishke kabisa kuwa unaishka kwa nadra sana ndio utakuta infor zenye ful details
NB.ni vizur ukajua then ukapga chin instead of chilling for silence death
 
Hivi inakuwaje, hadi kufikia kupekua meseji zilizo katika simu ya mtu mwingine(hata kama ndio mpenzi wako), kuwa na utaratibu wa kutopenda kuchunguza chunguza nyendo za mwanamke katika maswala ya uhusiano. Utakuja patwa na matatizo. Ukiwa na tabia hiyo, nina hakika hata mkoba wa mwanamke wako unaweza chunguza. Sasa endelea na tabia hiyo, ya kuchunguza chunguza kuna siku katika mkoba wa mwanamke wako, utakuta pakiti za kondomu zile zinazowekwa tatu, imebaki moja.
 
Kweli mtafutaji hachoki!
Ameona msg hazitoshi kaamua kuhamia fb
Hahahag hapo unatakiwa kuwa na moyo kama wangu me huwa nakagua sana tu simu ya mpenzi wangu na zikuta msg za kishenzi kama hizo naingia kwenye fb inbox nazikuta lakini bado sina muda wa kumuuliza roho hainiumi na bado nampenda pia sina mwingine zaidi yake na wala me sihitaji kufanya kama yeye.

Ila kikubwa ninachokifanya ni kuangalia kama kunajambo nakosea na kama hakuna basi ninampimia ni kipi kinacho msumbua wako ni wako utamjua kama hakuna kabisa sasa na dili na mwenendo wake juu ya mahusiano yetu ilikugundua kama kunachochote kabadilika kutokana na yale nilio yao.

UTAWEZA ? JARIBU ITAKUSAIDIA HAPO PRESSURE HAKUNA TENA UNACHOTAKIWA KUWANACHO NI MOYO MGUMU TU!!
 
Hbr wakuu?

Siku moja nilichukua simu ya mpenzi wangu nikakuta mesegi alizokua anachat na jamaa, alikua akimwita mpenzi na majina mengne yalonipa mashaka.

Niliongea na mpenzi wangu akakataa na kusema jamaa ni rafiki ake tu eti wamezoea kuchat vile, pia marafik zake walimtetea sana.

Sikuridhishwa na majibu yale ikabidi nimwambie amwite jamaa, alivyokuja akaeleza kuwa ni marafiki tu na akaomba msamaha kuwa hatorudia, nilimwambia amkome mpnz wng.

Kinachoniumiza zaid hivi karbuni ameanza kumtag mpenzi wangu kila picha anayoeka fb, nimeumia zaidi alipoeka picha ya maandishi iliyoandikwa LINI UTAKUWA WANGU na kumtag mpenzi wangu na dada mwingne.

Napoongea na mpenzi wangu anaomba sana msamaha na kusema atamzuia jamaa hiyo tabia.

Mi sielewi la kufanya ndugu zangu na huyu nampenda sana, naombeni ushauri.

Ahsanteni.

Vipi, hayupo instagram? Maana huko unaweza kuzimia.
 
Nenda sokoni ununue kamba iliyosokotwa vzr, tafuta mti mkubwa na mnene, funga kamba vzr ujinyonge! Utaondokana na bughuza zote hizo! Tena wahi kabla soko halijafungwa.

Hahahaaa, huyu akienda sokoni atadai na chenji..
 
Mimi hua nashindwa kuwaelewa mnaposema kwamba usikague cm ya mkeo!hilo nitalipinga hadi mwisho bora nikague nijue kama sio mwaminifu liwalo na liwe
 
Ina maana wakati mnaanza uhusiano, ulikuwa huamini kama mwaminifu?
 
Vi2 vingne n vya kuongea nyie wawili c kila ki2 uleta hpa,hyo peleka fb ndio mahala pake kma humuwezi nw hko mbeleni utakufa n stress mda c wko
 
Hapo kaka kuku ameanza kuparua ardh. weka quarantine, 2mia amri. ikishindikana tumia PLAN B ya concious mind hapo juu
 
Hbr wakuu?

Siku moja nilichukua simu ya mpenzi wangu nikakuta mesegi alizokua anachat na jamaa, alikua akimwita mpenzi na majina mengne yalonipa mashaka.

Niliongea na mpenzi wangu akakataa na kusema jamaa ni rafiki ake tu eti wamezoea kuchat vile, pia marafik zake walimtetea sana.

Sikuridhishwa na majibu yale ikabidi nimwambie amwite jamaa, alivyokuja akaeleza kuwa ni marafiki tu na akaomba msamaha kuwa hatorudia, nilimwambia amkome mpnz wng.

Kinachoniumiza zaid hivi karbuni ameanza kumtag mpenzi wangu kila picha anayoeka fb, nimeumia zaidi alipoeka picha ya maandishi iliyoandikwa LINI UTAKUWA WANGU na kumtag mpenzi wangu na dada mwingne.

Napoongea na mpenzi wangu anaomba sana msamaha na kusema atamzuia jamaa hiyo tabia.

Mi sielewi la kufanya ndugu zangu na huyu nampenda sana, naombeni ushauri.

Ahsanteni.
nakuelewa sn wangu..pole sn, jaribu kuongea naye tho huyo boy nipe no yake nimkanye
 
Back
Top Bottom