Nahisi naibiwa-mrejesho

tehe,ths tym sijataka ushauri nimeshafanya yangu na apa nimeleta mrejesho kama ambavyo niliahid,,ushauri nilihitaj mwanzo not ths tym bibie
mtake radhi bhana sio bibie huyo kama hujui jinsia ya mtu ita mkuu utaeleweka.
 
jomba ngoja miezi mitatu ukapime VVU, then ukijikuta powa, mshukuru Mungu, halafu mpotezee kimya kimya.
 
tehe,ths tym sijataka ushauri nimeshafanya yangu na apa nimeleta mrejesho kama ambavyo niliahid,,ushauri nilihitaj mwanzo not ths tym bibie

Haya tunashukuru kwa mrejesho aka feedback
Uje tena siku nyingine utuhadithie umemfuma Mzee lekuture aka lecture aka eti anamtongoza dem wako aka wanakutana lodge ths ijumaa (sijui kusali) kampinda bidada style gani?hahahah kweli kua sio uyaone maghorofa
 
Ntakusamehe ukigonga gari,kuvunja vyombo lkn sio kwenda kumpanulia mtu miguu...sina roho nzuri kiasi hicho.

Hahaha dah we jamaa una kauli za ajabu mpaka Noma aisee
Nimecheka mpaka naonekana chizi mungu akubariki sana
 
siamini kama alifanya ama hakufanya hivo
ila ninachosema hapa..mtu akikosea na akahitaji second chance apatiwe..awekwe kwenye matazamio..watu hubadilika
Na ww unaamini hajagegedwa?
 
USIWEKE MTEGO WA KUMFUMANIA MKEO KAMA HUNA UWEZO WA KUMUACHA tchaoooooooooo kwa stori hiyo mimi wewe ndo nakuona unaonewa samahani lakini

sWADAKTA; UNAMCHUNGUZA BATA WAKATI UNATAKA KUMLA .....
 
sawa
lakini,what if hakupanua miguu ila alikua akitengenezewa mazingira ya kupanua miguu?
Ntakusamehe ukigonga gari,kuvunja vyombo lkn sio kwenda kumpanulia mtu miguu...sina roho nzuri kiasi hicho.
 
Let's say hajaliwa,kwann alichange mpaka ukashtukia kama Unaibiwa?kikubwa ulienda Dodoma kufanya nn?don't fool uaself bana
 
sawa
lakini,what if hakupanua miguu ila alikua akitengenezewa mazingira ya kupanua miguu?

Mm huwa sitaki hizo what if.....narudia sina roho nzuri katika suala la michepuko.
 
siamini kama alifanya ama hakufanya hivo
ila ninachosema hapa..mtu akikosea na akahitaji second chance apatiwe..awekwe kwenye matazamio..watu hubadilika

Mi muumini mzuri sana Wa 2nd chances ila tatizo langu sio kumsamehe tatizo langu ni jamaa kumsamehe kwa kosa ambalo hajatenda
 
Anyway thisi izi furee cantrii ila inasikitisha watu kutaka furiii meal
Shikamoo Mr lecturer
 
sawa
lakini,what if hakupanua miguu ila alikua akitengenezewa mazingira ya kupanua miguu?
Ww ukikuta msg kwny simu ya boifrendi au hazibendi demu kamtumia anamwambia nmevaa chupi ya rangi ya udhurungi halaf yeye akakwambia hajawahi kufanya nae kitu...utaelewa?...huo ni mchepuko tayari hata kama jamaa hajakitumia kiboc manyonya cha huyo binti.
 
We mdhaifu sana, achana na huyo dada...tafuta chaka jingine...umepoteza busara pale ulipompigia mwl. Wake nakumuonya..ungekuwa jasir km ungechukua namba yake na dem wko akajua lakin usipige simu. We fara sn.
 
duh..hiyo itauma
lakini,kuna mtu anaweza uliza hilo swali hata kama hamjafika that far
 
duh..hiyo itauma
lakini,kuna mtu anaweza uliza hilo swali hata kama hamjafika that far

Kusema kweli mm hiwa nafikia kwenye maswali hayo kama nataka mzigo otherwise hiwa siwezi kuuliza hizo mambo....tena siku hizi kuna whatsapp unarushiwa picha uone kbs.
 
kweli watu hubadilika, lakini si huyo demu, me ninamashaka naye, cz Mr. Lecture akimkamata ktk subject lake, lazima atatoa mambo tu.
 
Kusema kweli mm hiwa nafikia kwenye maswali hayo kama nataka mzigo otherwise hiwa siwezi kuuliza hizo mambo....tena siku hizi kuna whatsapp unarushiwa picha uone kbs.

Hehehehhehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…