Mswati Original
Member
- Sep 9, 2014
- 59
- 22
Tafuta kademu na wewe uwe unajimegea hapo maana mpaka arudi atakuta na wewe ushakuwa mzoefu!
Hapo unaibiwa, katoe taarifa polisi.
kirahisi rahisi hivyo!!! kwan huyo mdogo wake hana bwana huo usiku anaongea na nani halaf simu nimnunulie mimi...!!!
Huwezi kugundua now,subiri arudi uone mabadiliko
Habari za
mchana wana MMU imani ni wazima wa afya.
Leo mwenzenu nina majanga yaani majanga.
Nina mpenzi wangu ambaye nimemwelezea sana humu JF ila la leo ni
tofauti.
Kwa sasa amesafiri kwenda kwao Arusha sasa kule amekutana na mdogo
ambaye anadai wanapendana kiasi kwamba wanachangia hadi vitu.
Nilikubaliana na yote ila hapa kwenye simu naona linanishinda muda
mwingi nikimpigia simu yake inatumika hadi usiku na nitakapompata anadai
alikuwa anatumia mdogo wake coz yeye hana simu.
Japo sio kawaida yake ila mwenzenu kiroho paaaa..
Hebu nisaidieni hapa siibiwi kweli.
cc miss chaga ,
watu8
,Matola,Heave n on the
earth, Tabibumtaratibu na
wengineo
Na bandu bandu humaliza gogo......
Mgaaga na upwa.....hali wali mkavu.......
Ganda la mua la jana....chungu kaona kivuno
Ukiona zinduna......ambali iko nyuma
simba mwenda pole....................
Ndege mjanja....................
ukiona manyoya ujue....................
Huibiwi...