Nahisi naibiwa hapa sina amani kabisa

Nahisi naibiwa hapa sina amani kabisa

je shemeji yako anapokea simu nakisema yeye ndo anatumia?
Kabla ajaenda huyo dogo alikua anatumia nini?
Meambie katija poket money ulompa amnunulie mdogo wake Simu ya 30Tshs
 
je shemeji yako anapokea simu nakusema yeye ndo anatumia?
Kabla ajaenda huyo dogo alikua anatumia nini?
Mwambie katika pocket money ulompa amnunulie mdogo wake Simu ya 30Tshs
 
Amini unachoambiwa kama unaibiwa utajua tu wala usiwe na papara
 
hapo huna chako fanya yako achana nae ukimfatilia sana cku atampa utaongea na mme mwenzio:A S wink::A S wink:
 
Habari za mchana wana MMU imani ni wazima wa afya.

Leo mwenzenu nina majanga yaani majanga.

Nina mpenzi wangu ambaye nimemwelezea sana humu JF ila la leo ni tofauti.

Kwa sasa amesafiri kwenda kwao Arusha sasa kule amekutana na mdogo ambaye anadai wanapendana kiasi kwamba wanachangia hadi vitu.

Nilikubaliana na yote ila hapa kwenye simu naona linanishinda muda mwingi nikimpigia simu yake inatumika hadi usiku na nitakapompata anadai alikuwa anatumia mdogo wake coz yeye hana simu.

Japo sio kawaida yake ila mwenzenu kiroho paaaa..

Hebu nisaidieni hapa siibiwi kweli.

cc miss chaga , watu8 ,Matola,Heave n on the earth, Tabibumtaratibu na wengineo

!
!
unaibiwa.....pole mno.
 
Huibiwi........

Kuondoa utata fanya hivi nunua simu mtumie mwambie hiyo ya kwake amuachie mdogo wake,halafu utaona maendeleo.
 
je shemeji yako anapokea simu nakisema yeye ndo anatumia?
Kabla ajaenda huyo dogo alikua anatumia nini?
Meambie katija poket money ulompa amnunulie mdogo wake Simu ya 30Tshs

mkuu!!! hapo kwenye kumnunulia mtu cm ili aongee na bwana ake naona nitakuwa najishusha sana!!!
halafu nitaonekana mpumbavu ujue!!
 
hapo huna chako fanya yako achana nae ukimfatilia sana cku atampa utaongea na mme mwenzio:A S wink::A S wink:

ha!!! ha!!! ha!!! ha!!!
akifanya hivyo atakuwa amenisaidia sana na wala haitaniuma kwan mimi ndo wa kwanza!!!!
 
Huibiwi........

Kuondoa utata fanya hivi nunua simu mtumie mwambie hiyo ya kwake amuachie mdogo wake,halafu utaona maendeleo.

mkuu ninunue cm tena!!!!
na kama alikuwa mwongo nitaidaije!!!
 
Back
Top Bottom