Nahisi naibiwa hapa sina amani kabisa

Nahisi naibiwa hapa sina amani kabisa

Wakati mwingine binadamu wanajutia pressure zisizokuwa na sababu
 
Na bandu bandu humaliza gogo......
Mgaaga na upwa.....hali wali mkavu.......
Ganda la mua la jana........
Ukiona zinduna........
mbona mnaniacha wakuu!!!
 
mtumie hela ya kumnunulia mdogo wake simu simple naye apate mawasiliano , basiiiiiiiiiii..........
 
Na bandu bandu humaliza gogo......
Mgaaga na upwa.....hali wali mkavu.......
Ganda la mua la jana........
Ukiona zinduna........
pia mwenda tezi na omo marejeo ngamani...
kata pua uunge wajihi..
kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi...
samaki mkunje angali mbichi
 
mtumie hela ya kumnunulia mdogo wake simu simple naye apate mawasiliano , basiiiiiiiiiii..........

kirahisi rahisi hivyo!!! kwan huyo mdogo wake hana bwana huo usiku anaongea na nani halaf simu nimnunulie mimi...!!!
 
pia mwenda tezi na omo marejeo ngamani...
kata pua uunge wajihi..
kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi...
samaki mkunje angali mbichi
anhaaa!!!! mkuu hebu weka wazi si unajua maneno mengi hayajengi nyumba!!!
 
Ninua ingine upeleke. Ili ahamie hiyo kuongea na wengine. Ili wewe ukigusa tu anaitikia upo hapo?
 
hebu kidogo unaniacha mbali mkuu!!!
namba 1,2,3 zinaonyesha kabisa kuna tatizo ila namba 4,5 zinanipa matumaini fafanua japo kidogo!!!
me nimejaribu tu kubalance, kwamba chochote kinawezekanA vile mko mbali , so kuwa makini, endelea kumchunguza ili kupata uwakika kama anakusaliti au la,
NB. kuendelea kumuhisi vibaya ni vibaya kama hana nia mbaya...
 
Ninua ingine upeleke. Ili ahamie hiyo kuongea na wengine. Ili wewe ukigusa tu anaitikia upo hapo?

tunasoma vyote mkuu hapo nilipokoleza ni NUNUA!!!
halafu nawezaje kumnunulia mtu simu aongee na bwana wake!!!
 
me nimejaribu tu kubalance, kwamba chochote kinawezekanA vile mko mbali , so kuwa makini, endelea kumchunguza ili kupata uwakika kama anakusaliti au la,
NB. kuendelea kumuhisi vibaya ni vibaya kama hana nia mbaya...

angekuwa na android ningedownload mspy ila ana simu ya kawaida sana!!!
 
Back
Top Bottom