Nahisi nadanganywa

Nahisi nadanganywa

mkuu nikikuta sio bikra itakuaje
bikra ya kazi gani mkuu....unatafuta mke, demu au bikra.......kwanza zinazingua kutoa balaa.....achana nazo,, utaishia kuchubua ukuni tuu...
 
ukweli gani? na utajuaje ni ukweli? wanaume nyie huwa ni wajinga sana.kitu huwezi kuprove unakishikilia bango mwisho ufe na pressure bure.kama humtaki dada wa watu mwambie ukweli acha longolongo
nikikuta bk nitajua ni kweli
 
Ni ngumu kuwa na uhakika kwa kile kinachotoka moyoni kwa mtu cha kufanya ni wewe mwenyewe ujitahidi kuiaminisha nafsi yako kile unachoambiwa.
sawa mkuu nimependa ushauri wako
 
Ngoja nipite kwanza. Tafuta bikra humu atakusaidia mawazo.
 
Embu weka kapicha kake hapa unaeza kuta yupo kwenye list za watu humu
 
bikra ya kazi gani mkuu....unatafuta mke, demu au bikra.......kwanza zinazingua kutoa balaa.....achana nazo,, utaishia kuchubua ukuni tuu...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] me sitak bikra mkuu ila nataka ukweli
 
Waaaish.... Kumbe unaomba ushauri jinsi ya kuhit n run ...

Wewe kweli bado hujakuwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom