Nahisi nadanganywa

Hapo hakuna bikira. Wajanja washakula. Awe na mwanaume zaidi ya mmoja halafu asiliwe?
Bikira adimu sana kwasasa mkuu ni kama kuokota dhahabu njiani.
Angekuwa bikira wala asingekuficha juu ya wanaume wake wengine.
 
Iyo ishu haiko serious kuna kitu huwa anaweza kuwa anakihitaji au anataka kuonesha kwa maboy kuwa yupo na mpenz tu ila kwa mapenzi kuna asilimia ndogo
 
ni bora niambiwe ukweli kuliko kudanganywa
ukweli gani? na utajuaje ni ukweli? wanaume nyie huwa ni wajinga sana.kitu huwezi kuprove unakishikilia bango mwisho ufe na pressure bure.kama humtaki dada wa watu mwambie ukweli acha longolongo
 
Hapo hakuna bikira. Wajanja washakula. Awe na mwanaume zaidi ya mmoja halafu asiliwe?
Bikira adimu sana kwasasa mkuu ni kama kuokota dhahabu njiani.
Angekuwa bikira wala asingekuficha juu ya wanaume wake wengine.
real..sasa kwanini anidanganye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom