Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,326
- 34,690
Weka vifungu vya vitabu hivyo... biblia na koranNahisi Mungu ni mbinafsi kwa sababu zifuatazo
1)humpa amtakaye, Mungu kupitia vitabu vya dini amekuwa akisema mara kwa mara kwamba yeye humpa neema na humfanikishia mahitaji mja amtakaye, hapa moja kwa moja ana dhihirisha sifa ya ubinafsi kwa maana kama hakupendi hata umuombe namna gani hutofanikiwa abadani asilani.
2)humuongoa au humuepusha na maasi mtu amtakaye , hapa pia ana dhihirisha ubinafsi wake, kwa kuwa kama mja fulani anatenda dhambi Mungu atafanya juu chini kumuepusha hata kama huyo mtu hakuwa mtu wa ibada, lakini wakati huo huo wengine wakitenda maovu anawaacha wateketee na hawapi msaada wowote, hapa inaonesha kwa kiasi gani ana ubinafsi.
3)kuna mwengine hata afanye mema kiasi gani, malipo atakayopewa ni madogo sana, lakini mwingine akifanya mema kidogo ana shushiwa lundo la thawabu.
4)Ana waonea sana wanawake, hataki wawe viongozi, kwenye umiliki wa mali hasa Mirathi anataka wanaume tu ndio wapewe vipaumbele vya kumiliki.
5)kuna wengine tangu anazaliwa mpaka anafariki hajawahi kuonja raha yoyote ya dunia na wala hajui dunia ikoje, kwa sababu utakuta amezaliwa kipofu na maradhi tele mwilini na hajawahi kupata nafuu kuanzia ana zaliwa mpaka anafariki.
kitu gani hapo hakipo clear mpaka uwekewe vifungu?Weka vifungu vya vitabu hivyo... biblia na koran
wapi hapo nimeongea uongo?Nimejaribu kuangalia sehemu yoyote ambayo walau ina ukweli kuhusu andiko lako sijaliona, nimefikia conclusion kuwa una uelewa mdogo sana kuhusu maandiko yanayomuelezea Mungu hasa biblia, jipe muda ujaribu kusoma utaona kile ulichoandika sio sahihi
Shibe inamsumbuaNimejaribu kuangalia sehemu yoyote ambayo walau ina ukweli kuhusu andiko lako sijaliona, nimefikia conclusion kuwa una uelewa mdogo sana kuhusu maandiko yanayomuelezea Mungu hasa biblia, jipe muda ujaribu kusoma utaona kile ulichoandika sio sahihi
Andiko zima ni uongowapi hapo nimeongea uongo?
kwanza hii Mada sidhani kama ilikuwa inakuhusu, maana nyie wayahudi hamumuabudu Mwenyezi Mungu bali mnamuabudu binadamu mwenzanu ambaye ni Yesu.Andiko zima ni uongo
wapi nimesema napambana na Mungu?Kijana, usipambane na Mungu. Hutashinda daima.
Katimize yanayokupasa.
toa hoja,, acha upuuzi.
ndicho unachokiwaza hicho?rinda umepewa bure litunze mwanzengo
toa hoja.Hongera, naona unataka kumpangia Mungu cha kufanya.