Nahisi msichana niliemuacha kaniloga

Nahisi msichana niliemuacha kaniloga

si nikwambia ukajifanya mjanja wewe!!!! sasa vichomi vitahamia kwenye Ubongo!! Ushindwe kufikiri hizo Mbususu wee!! subiri tu!
 
Wakuu nahisi msichana niliye wahi kuwa naye kwenye mahusiano then nikamuacha kuna michezo ya kiswahili kanifanyia.

Kwani baada ya kumuacha alinilaani Sana na aliniambia nitamkumbuka

Sasa mambo yamekua si mambo, kila msichana ninae kutana naye kimapenzi (sex) baada ya kumaliza sex napata maumivu makali Sana kwenye mkuyenge maumivu hayo yanadumu kwa dk 10 then mkuyenge unaacha kuuma.

Imekuwa hivyo Kila nikifanya mapenzi na nimejaribu kufanya na wanawake tofauti tofauti lakini hali ni hiyohiyo

Kwenu watalaamu wa mambo mnawezaje kunisaidia kwani nakumbuka wakati Niko naye yule msichana sikuwahi kukumbwa na kadhia hii hata kama ningefanya naye mala kumi ila baada ya kumuacha hali ndiyo kama hii.

Kama niukweli kanifanyia hivi hakika hii Dunia tunaishi kwa vsasi nakama namsingizia basi Mungu anisamehe
Pole sana
 
Back
Top Bottom