Nahisi msichana niliemuacha kaniloga

Nahisi msichana niliemuacha kaniloga

Wakuu nahisi msichana niliye wahi kuwa naye kwenye mahusiano then nikamuacha Kuna michezo ya kiswahili kanifanyia.
Kwani baada ya kumuacha alinilaani Sana na aliniambia nitamkumbuka

Sasa mambo yamekua si mambo, kila msichana ninae kutana naye kimapenzi (sex) baada ya kumaliza sex napata maumivu makali Sana kwenye mkuyenge maumivu hayo yanadumu kwa dk 10 then mkuyenge unaacha kuuma.imekuwa hivyo Kila nikifanya mapenzi na nimejaribu kufanya na wanawake tofauti tofauti lakini hali ni hiyohiyo

Kwenu watalaamu wa mambo mnawezaje kunisaidia kwani nakumbuka wakati Niko naye yule msichana sikuwahi kukumbwa na kadhia hii hata kama ningefanya naye mala kumi ila baada ya kumuacha hali ndiyo kama hii.kama niukweli kanifanyia hivi hakika hii Dunia tunaishi kwa vsasi nakama namsingizia basi Mungu anisamehe
Acha kuwaza ushrkna nenda hosp kapme magonjwa ya zinaa
 
Sidhani kama hii ni starting point ya kutatua tatizo lake. Ni kweli ushirikina upo ila anza na hatua ya kwenda hospitali, ikishindikana bado kuna maombi. ukianza na hilo utapotea au utaendelea kukuza ugonjwa.
 
Wakuu nahisi msichana niliye wahi kuwa naye kwenye mahusiano then nikamuacha Kuna michezo ya kiswahili kanifanyia.
Kwani baada ya kumuacha alinilaani Sana na aliniambia nitamkumbuka

Sasa mambo yamekua si mambo, kila msichana ninae kutana naye kimapenzi (sex) baada ya kumaliza sex napata maumivu makali Sana kwenye mkuyenge maumivu hayo yanadumu kwa dk 10 then mkuyenge unaacha kuuma.imekuwa hivyo Kila nikifanya mapenzi na nimejaribu kufanya na wanawake tofauti tofauti lakini hali ni hiyohiyo

Kwenu watalaamu wa mambo mnawezaje kunisaidia kwani nakumbuka wakati Niko naye yule msichana sikuwahi kukumbwa na kadhia hii hata kama ningefanya naye mala kumi ila baada ya kumuacha hali ndiyo kama hii.kama niukweli kanifanyia hivi hakika hii Dunia tunaishi kwa vsasi nakama namsingizia basi Mungu anisamehe

Umepima Kaswende?
 
Asee bora umesema.. sijui huwa ni mazoea ya maumbile ya mtu mmoja au lah..mana alooh mi nkimcheat wangu huwa yanikuta hiyo unahisi maumivu kama umekata mkojo ghafla inauma haswa..ila baada ya muda inapoa unarudia show ukipiz inarudi pale pale maumivu
Kama na wewe hali ni hiyo hiyo, basi inabidi wanaume tuitishe kikao cha dharura!

Viashiria vinaonesha kuna kamchezo kapya kameingia mjini.
 
Sikia kijana iko hivi kama umetembea na wanawake wote na unasikia hali ambayo sio kawaida kwanza rudi kwa yule mwanamke mrubuni umlale ukujoe ukisikia maumuvimu nenda hosp.. usiposikia ujue tiyar yeye ndie mhusika mkuu kule mitamboni... kwasababu iko hivi unapofanyiwa mchezo mchafu Na mwanamke wako kumbuka ukitaka kugonga kwingine inalala au lolote linatokea ila ukirudi kwake mambo mswano... embu jaribu
 
Alishaolewa chief yaani hii nisawa na aliyekuroga kafa
 
Bro kurudi kuomba suluhisho kwa mwanamke ulie mtenda ni kujipalia Moto ....yaani ndiokwanza ataona sauti haitoshi atakuongezea sauti hivi unajijua akili ya wanawake au unaisikia...? Onesha huumiii na unafurahia tendo utamfanya ajione boya na uchawi wake ....huku ukimlia timing mdogo mdogo na ukijirudisha kwake hakikisha anajua swala lililo kurudisha ni mapenzi na sio matatizo
 
Wakuu nahisi msichana niliye wahi kuwa naye kwenye mahusiano then nikamuacha Kuna michezo ya kiswahili kanifanyia.
Kwani baada ya kumuacha alinilaani Sana na aliniambia nitamkumbuka

Sasa mambo yamekua si mambo, kila msichana ninae kutana naye kimapenzi (sex) baada ya kumaliza sex napata maumivu makali Sana kwenye mkuyenge maumivu hayo yanadumu kwa dk 10 then mkuyenge unaacha kuuma.imekuwa hivyo Kila nikifanya mapenzi na nimejaribu kufanya na wanawake tofauti tofauti lakini hali ni hiyohiyo

Kwenu watalaamu wa mambo mnawezaje kunisaidia kwani nakumbuka wakati Niko naye yule msichana sikuwahi kukumbwa na kadhia hii hata kama ningefanya naye mala kumi ila baada ya kumuacha hali ndiyo kama hii.kama niukweli kanifanyia hivi hakika hii Dunia tunaishi kwa vsasi nakama namsingizia basi Mungu anisamehe

Kamle, usipopata maumivu ongea naye
 
Back
Top Bottom