Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma

Nahisi mpenzi wangu hajui kusoma

Mtumie sms ya kumpiga chini alafu uone reaction yake asipomaind jua hajui kisoma
ANGALIZO: Do it at your own risk usije kuachwa ukachanganyikiwa.
 
Pole mkuu, naomba umlete kwangu nimpatie darasa maalumu la kusoma na kuandika. . hakuna ada, absolutely free
 
Duuh..kuna uyo mzee alikua hajui kusoma Ana mtoto wake wachekechea

kila mtoto akirudi shule Ana muuliza umefundishwa nini mtoto anasoma Baba naye anafatiliza

kila siku ikawa nao desturi na wala mtoto hakugundua km Baba hajui kusoma na yule mzee alijua kusoma kupitia mwanae

mtoa mada: tafuta mtoto kila ukiwa na mpenzi Wako unakaambia kasome mbele yenu kila siku km anania yakujufunza atakua interested..
 
Huoni hiyo ni advantage kwamba michepuko ikikutext ataishia kusikia milio tu? By the way,kwani hayo mahusiano yenu yamejikita zaidi kisomi au ulikuwa umeweka kigezo cha kujua kusoma na kuandika ili kumfungulia shule ya watoto?
 
fanya kama kumsaidia tu mfundishe kusoma ikibidi na kuandika, tena mpe na vitabu vile vya darasa la kwanza ajifunzie hivyo then uwe karibu naye ili asihisi kudharauliwa au aibu..
 
Kama unampenda hutojal kuhusu yy kujua kusoma, upendo wa kwl ndo mpango wa town, zingine ni mbwembwe tu we mkamatie tu handsome wako uyo we jichanganye ss et hajui kusoma mara hajibu text zako, ujue mtu asiyejua kusoma ni mzuri maana ni mwoga kutongoza kwingine maana kutongoza kunahusisha text pia, wenzio wanakuchora tu ukilitupa tu tonge wenzio wanalidaka na kubugia
Ila pia ujue kuna muda labda anatamani maandishi ya mpenziwe, hahaha kuna situations saa zingine zinaforce kuchat bana sa sjui mwenzetu anafanyaje
 
Huoni hiyo ni advantage kwamba michepuko ikikutext ataishia kusikia milio tu? By the way,kwani hayo mahusiano yenu yamejikita zaidi kisomi au ulikuwa umeweka kigezo cha kujua kusoma na kuandika ili kumfungulia shule ya watoto?

Hahahah
 
fanya kama kumsaidia tu mfundishe kusoma ikibidi na kuandika, tena mpe na vitabu vile vya darasa la kwanza ajifunzie hivyo then uwe karibu naye ili asihisi kudharauliwa au aibu..
Kama kweli anampenda afanye tu ivo maana atamwaibisha adi itafikia sehemu atamchoka na upendo utapungua
 
Kama kweli anampenda afanye tu ivo maana atamwaibisha adi itafikia sehemu atamchoka na upendo utapungua
hata akimchoka au upendo ukapungua,:kuna ile kitu mtu unafanya tu ili kumstahi mwenzako kama kumsaidia.
si vyema akimwacha hivihivi,. kutokujua kusoma mi naona ni janga kubwa, hapa najaribu kuvuta picha hivi ingekuwa kama ningekuwa sijui kusoma na umri huu, hata jf nisingeijua, ningemiss vitu vingi sana.
watu kama hao ni wakuwasaidia tu hata kwa kuwatia moyo au kumfundisha hata kuandika jina lake, mengine atajiongeza.
 
Eti kwa kuwatia moyo hahaha mkuu asa anajiongezaje kama hajiwezi na hakuweza hapo nyuma
 
Back
Top Bottom