Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 30,010
Aniache kwanza aisee huyo atakua kazaliwa benkAnasoma digits

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aniache kwanza aisee huyo atakua kazaliwa benk
Hzo digits kajulia wapi kama sio wizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari zenu wana,
Nina mahusiano yapata miezi miwili (2) huyu mpenzi wangu nampenda sana, tatizo nikimtumiaga mesage huwa hajibu, hukimbilia kunipigia simu lakini hilo siyo tatizo kubwa sana kwangu, nilichoshangaa jana tukiwa tunakula kuna rafiki yangu wa kike kanipigia simu nikavunga nikajifanya sitaki kupokea akamaindi.
Baada ya muda simu ikakata akaichukua simu akawa mkali ikabidi nimuachie kufungua, nikamuuliza nani kapiga alishindwa kuisoma lile jina, akaanza kuuliza missed call ilioingia sasa hivi ni ipi, ndo nikamuonyeshea.
Napatwa na wasiwasi sana kuhusu hili na kuhusu elimu yake ameishia kidato cha pili, ila kuandika namba anajua tatizo meseji kujibu pindi mnapo chat hapo ndo tatizo, nifanyaje ili nijue ukweli au anafanya kusudi.
Naombeni ushauri wenu.
Hzo digits kajulia wapi kama sio wizi

[emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwel kabisa aisee kuna watu hata darasa moja hajaingia ila likija swala la pesa humuibii kituHalafu wasiojua kusoma wanajua chenjiii!!!hatareee
Kama ww unapenda mwanaume anayejua kusoma nenda ukaolewe na Head Master. Mpenz wako yupo Romantic sana hatak mambo ya kuandika andika anataka Straight pointHabari zenu wana,
Nina mahusiano yapata miezi miwili (2) huyu mpenzi wangu nampenda sana, tatizo nikimtumiaga mesage huwa hajibu, hukimbilia kunipigia simu lakini hilo siyo tatizo kubwa sana kwangu, nilichoshangaa jana tukiwa tunakula kuna rafiki yangu wa kike kanipigia simu nikavunga nikajifanya sitaki kupokea akamaindi.
Baada ya muda simu ikakata akaichukua simu akawa mkali ikabidi nimuachie kufungua, nikamuuliza nani kapiga alishindwa kuisoma lile jina, akaanza kuuliza missed call ilioingia sasa hivi ni ipi, ndo nikamuonyeshea.
Napatwa na wasiwasi sana kuhusu hili na kuhusu elimu yake ameishia kidato cha pili, ila kuandika namba anajua tatizo meseji kujibu pindi mnapo chat hapo ndo tatizo, nifanyaje ili nijue ukweli au anafanya kusudi.
Naombeni ushauri wenu.
Mpeleke shuleHabari zenu wana,

Please nitafute PMAna wivu sana na apendi kuona simu zikiingia usiku
Hii nimeipenda kwa kweliDuuh..kuna uyo mzee alikua hajui kusoma Ana mtoto wake wachekechea
kila mtoto akirudi shule Ana muuliza umefundishwa nini mtoto anasoma Baba naye anafatiliza
kila siku ikawa nao desturi na wala mtoto hakugundua km Baba hajui kusoma na yule mzee alijua kusoma kupitia mwanae
mtoa mada: tafuta mtoto kila ukiwa na mpenzi Wako unakaambia kasome mbele yenu kila siku km anania yakujufunza atakua interested..
Bila shaka haupo dunia hii au ndio wale Magu aliosema wanaishi kama malaika. Yaani mtu anafika form one hajui kusoma, mtaani atakosekana asojua kusoma? Wapo KIBAOOOOO.Hapendagi tu kuandika meseji na kusoma sidhan kama ulimwengu wa leo mtu yupo town asijue kusoma na kujibu msg tena mwanaume, apo ni mtego ww rukaaaaaa