Nahisi mke wangu anachepuka

Zaburi 23

JF-Expert Member
Feb 22, 2017
570
650
Kama maada inavyojieleza hapo juu, Nahisi wife anamegwa nje coz kuna mambo anayafanya humu ndani nahisi ipo hivyo.

Picha linaanza imefika stage kawa na kiburi nikimwambia kitu anaweza kukujibu staki ikiwa ni moja ya majukumu yake humu ndani so nashindwa kuelewa nini kinasababisha hadi awe hivi.

Kama jana nimefika home kama kawaida nimemkuta anaangalia tamthilia (Chizi Mapenzi, Star Swahili) nikamwambia anichemshie maji ya kuoga coz mimi ni muumini wa maji ya moto kutokana na hii kazi nnayoifanya mara nyingi nikirud Huwa nahis baridi sana na kulala bila kuoga siwezi, tuendelee na kibao.

Kumwambia anichemshie akakataa katukatu nikajiuliza huyu ana nini mbona yupo hivi ikiwa mchana aliniomba pesa kuna mazaga yake akanunue nilimpatia bila ubishi.

Mwanaume nikatoa sufuria nikawasha gesi nikainjika maji yalivyochemka nikaweka kwenye ndoo ili nikaoge cha ajabu ile namalzia kuoga huyuuu na yeye akataka kuoga sikumkatalia akaoga tukaingia ndani kula na msos ukalika bila tatzo.

>>> Inaendelea hapa
 
Turud nyuma kidogo.

Ni miez 8 sasa tangu nimeanza kuishi naye na hakuwa na tabia hizi siku za mwanzo.

Nilipoona anastahili kuanza familia na mimi bila kinyingo nilimueleza kuwa nataka nimuoe. akakubali na akataka nipeleke barua kwao ili process zingine zifuate. Kabila lake ni Mbena wa Njombe na wazaz wake wanaishi Morogoro kijiji kapuni.

Nilifanya process zote nikapata mshenga barua ikaenda. Majibu kurud kias kilichoandikwa kwa ujumla ni kama 1.5M na mimi bila ubishi nikapromis ntapelela nusu or 900K wazee wakakubaliana na mimi. Nilipromis mwez wa 3 or Wa 4 ntakua tayari nimepeleka mzigo ili tarehe ya Ndoa ipangwe kabisa but Mambo yakayumba kidogo kile kias hakikukamilika kwahiyo nikawa nimefeli na wazaz wake nikawapromis kuwa mwez wa 6 nitapeleka hicho kias coz kwa mwez wa 3 or wa 4 nimefeli. Nao bila kinyongo wakanikubalia.

>>> Inaendelea hapa
 
Huku nyuma Wife to be kuna vijisafar vya hapa na pale vikawa haviishi kila weekend mara yupo Mbezi, Wiki hii Tabata, Inayofata Temeke sasa nikawa simuelewi.

Kuna mtego nikautega katika simu yake kila simu atakayowasliana nayo inakua recorded. Siku kaenda huko alivyorudi tu nikamwagiza dukani af nikamuomba sim yake niongee na mama yake na yangu haikua na vocha ili akitoka nipate wasaa wa kusoma mesej kama hajafuta na kufatilia mtego wangu wa record.

Alivyoondoka tu Nikaanza kukagua nikaanza na meseji holaaa, kwenye calls kuna namba nikazikuta nikawa na mashaka nazo coz aliwasliana nazo asubuh na mda alokua anatoka na wakat anarud, Haraka nikakimbilia kwenye faili la mitego yangu... kuangalia record zipo na nilipoziskiliza katika maongez yao.

Jamaaa aliomba kuonana nae na yeye alijibu hana time jamaa akajibu kama ni nauli hata boda atalipia lalini wife akawa anajibu alitaka kwenda atamjuza.

Record ikaishia hapo na zile zingine aliongea na ndugu yake sikua na tatzo nae. Alivyorud nikamuulza akawa kimya nikatembeza kipigo hadi majirani wakagomba nikaachana nae baada ya siku mbili nikampandisha treni TAZARA, Akaenda kwao Morogoro.

>>> Inaendelea hapa
 
Manzi akishakuambia akiwa na muda atakuambia ni suala la ww kujiongeza tu na kutuma vocha kwa mpesa, cku ya pili msalimie kwa SMS utashangaa atakavyo kuchatisha ili tu umlengeshe kwenye kukutana kwenu, dem mwenye msimamo wake kwanza ukimsumbua tu unakula block.
 
Back
Top Bottom