Nahisi mke wangu anachepuka

Hapo hujamuingiza ndani rasmi anakunyima,akiingia ndani rasmi kitakachofuata ni kuchomana moto.

Jombaa suala la mapenzi ni lako na mwenza wako.utashauriwa hapa lakini ukija ndani mawazo yanarudi kwako.
Za kuambiwa changanya na zako.

Ukijua hitaji lako la kuoa ni nini basi jibu utalipata kama huyo mwanamke anakufaa au hakufai.

Mfano mimi hitaji langu la kuoa ni kwamba nipate u.chi kwa muda muafaka.sasa nikiwekewa vikwazo na kunyimwa maana yake ni kwamba ndoa hiyo hainifai.mkuu jitafute
umenifurahisha Sana hapo,kwenye jukumu lako la kuoa.
 
Wabena hatuna hizi mambo za kuchepuka siyo wanawake wala wanaume.

Wabena ni wahehe baadhi yao wanaoongoza Kwa unafiki na hila!

Ni watu wakujipendekeza sana hata Kwa gharama ya wengine huwa hawajali.

Anachosema mdomoni sicho anachomaanisha moyoni.

Halafu kwa ushirikina na uchawi usiulize!

Mbona kwenye Wabena wengi ndio kunaongoza kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi?

Kwa mujibu wa Tacaids Njombe, Iringa wanaoongoza wengine wakifuatia.
 
Umewahi kuwa na Mwanamke wa kibena mpaka iseme wanawake wa kibena ni jeuri . Wanawake wakibena wanajulikana kama wanawake wavumilivu na watiifu

Thubutuu!

Wanajua ku-pretend sana!

Sio wa kuwachukulia poa hata kidogo.
 
Wabena ni wahehe baadhi yao wanaoongoza Kwa unafiki na hila!

Ni watu wakujipendekeza sana hata Kwa gharama ya wengine huwa hawajali.

Anachosema mdomoni sicho anachomaanisha moyoni.

Halafu kwa ushirikina na uchawi usiulize!

Mbona kwenye Wabena wengi ndio kunaongoza kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi?

Kwa mujibu wa Tacaids Njombe, Iringa wanaoongoza wengine wakifuatia.
Mara ya mwisho mi niliona Mtwara, lindi na Tanga zinaongoza. Takwimu zako ni za mwaka gani?

Pia tambua kwamba maeneo mengi ambayo maambukizi ni makubwa kuna shida ya elimu duni na elimu ya uzazi kwa ujumla.

SIfa ulizoandika za hila, uchawi na unafiki ni umechukua sifa za makabila mengine ya Njombe na kutugea wabena.

Hapo ndiyo umekosea.
 
Wabena ni wahehe baadhi yao wanaoongoza Kwa unafiki na hila!

Ni watu wakujipendekeza sana hata Kwa gharama ya wengine huwa hawajali.

Anachosema mdomoni sicho anachomaanisha moyoni.

Halafu kwa ushirikina na uchawi usiulize!

Mbona kwenye Wabena wengi ndio kunaongoza kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi?

Kwa mujibu wa Tacaids Njombe, Iringa wanaoongoza wengine wakifuatia.
Usije ukajichanganya eti ukaoa mhehe au mbena...ni wanafiqi wa olympics. Anaongea hiki moyoni ana kile
 
Back
Top Bottom