Nimechanganyikiwa: Mpangaji mwenzangu anahama na mke wake

Mdigokhan

JF-Expert Member
May 2, 2022
843
1,923
Nitakufa kwa mawazo,

Mimi ni kijana wa miaka 31 nipo single, nimepanga nyumba ya Uani, nyumba kubwa kapanga kaka mmoja ana mke na Mtoto mmoja, kwahiyo tupo wapangaji wawil tu tunaish DSM.

Huyu mpangaji mwenzangu ni Dereva wa magari ya mkoani.

Mke wa huyu kaka tumezoeana sana na amekuwa ananifariji sana ingawa hatujawahi fanya mapenzi, kuna vitu huwa namfanyia ambavyo mme wake hawezi kumfanyia na isitoshe nimemzoea sana na aliniahidi kitakachotutenganisha ni kifo.

Sasa mwezi ujao mme wake anahamia Mwanza, nimechanganyikiwa kabisa sjui nitumie njia gani Ili mume wake ahame amwache mke wake hapa Dsm mana nimemzoea sana japo sio mpenzi wangu.
 
Nimechanganyikiwa Mpangaji mwenzangu anahama na mke wake,
Nitakufa kwa mawazo.

Mimi ni kijana wa miaka 31 nipo single, nimepanga nyumba ya Uani, nyumba kubwa kapanga kaka mmoja ana mke na Mtoto mmoja, kwahiyo tupo wapangaji wawil tu tunaish Dsm,
Huyu mpangaji mwenzangu ni Dereva wa magari ya mkoani..

Mke wa huyu kaka tumezoeana sana na amekuwa ananifariji sana ingawa hatujawahi fanya mapenzi, kuna vitu huwa namfanyia ambavyo mme wake hawez kumfanyia na isitoshe nimemzoea sana na aliniahidi kitakachotutenganisha ni kifo,
Sasa mwezi ujao mme wake anahamia mwanza , nmechanganyikiwa kabisa sjui nitumie njia gani Ili mume wake ahame amwache mke wake hapa Dsm mana nimemzoea sana japo sio mpenzi wangu….
Aaahhh nyie ni wale mnaojingonga, Domo zegeee, Huwa mnaonga weeee ila mademu hawawapi mchezo mpaka Ndoa !!.

Siku mkifuma meseji za madem wenu hao wakisifia wahuni namna wanavyowapakua mtaro,,,, mnaenda kujiua !!.
 
Back
Top Bottom