Nimeamua kuandika hivi kwa hisia zangu kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini, haswa kuhusiana na swala la Dowans. Ukimya wake ni moja ya jambo lililonipelekea kuwa na hisia hizi. Pia nina hisi kuna watu wanafanya juu chini katika kumshawishi aendelee kuongoza nchi hali yeye akiwa hapendi hata kidogo kuendelea.
Source: Mimi na kusoma-soma kwangu magazeti yetu na sredi za JF !!
Pamoja na kujua kwako kote sheria na matumizi ya JF, nashangaa kwa nini hujapost hizi hisia zako kwenye jukwaa la utani. SteveDii, huu ni udaku kama sio uzushi.
Ni hisia au 'uzushi' unaotokana na jambo lililopo. Swala la Dowans si uzushi tena wala udaku tena. Kuna wanaohusika na Watanzania tunaendelea kusota kwa mgao unaotokana na maamuzi ya baadhi ya viongozi wetu. Kujiuzulu kwa kiongozi ni jambo linalotokea. Ni aina ya kuwajibika kwa mwenye kutambua wajibu. Sioni kama ni utani, maana utani unatungwa au kutokea kwa malengo ya kufurahisha. Hili langu ni hisia kutokana na mlolongo wa mambo yaliyopo. Hata hivyo kama sheria inaonekana imevunjwa kwa kuanzisha sredi hii, wala sitolalamika ikiswekwa lupango.
Was it me who suggested so in first place??
Then won't you take the lead as a pioneer of the concept?!
Great... finally we're on the same page! Responsibility is a fact - yes. The ramifications of the Dowans saga are a fact of life as we hammer down these posts. Those responsible for it ought to resign if they've an ounce of moral responsibility left in them. Hisia zangu siyo udaku wala joke kulingana na mwono wangu na ndiyo maana nimepost thread kwenye jukwaa hili, maana hisia zinatokana na jambo lililopo na linaloendelea kushika headlines hapa nchini. Aliye suggest ni joke ni wewe, na kama unauhakika ni joke hata baada ya maelezo yangu, kwanini basi usioneshe punje ya responsibility unayoisema kwa kuwataarifu wahusika ili wachukue hatua ipasavyo?!This isnt a concept, it is a fact (kwamba umechemka). Kama mkumbusha sheria onyesha uwajibikaji kwa kuwajibika kuondoa kasoro, sio kuwajibikiwa.
Great... finally we're on the same page! Responsibility is a fact - yes. The ramifications of the Dowans saga are a fact of life as we hammer down these posts. Those responsible for it ought to resign if they've an ounce of moral responsibility left in them. Hisia zangu siyo udaku wala joke kulingana na mwono wangu na ndiyo maana nimepost thread kwenye jukwaa hili, maana hisia zinatokana na jambo lililopo na linaloendelea kushika headlines hapa nchini. Aliye suggest ni joke ni wewe, na kama unauhakika ni joke hata baada ya maelezo yangu, kwanini basi usioneshe punje ya responsibility unayoisema kwa kuwataarifu wahusika ili wachukue hatua ipasavyo?!
Steve Dii my dear friend, are u okay!?Nimeamua kuandika hivi kwa hisia zangu kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini, haswa kuhusiana na swala la Dowans. Ukimya wake ni moja ya jambo lililonipelekea kuwa na hisia hizi. Pia nina hisi kuna watu wanafanya juu chini katika kumshawishi aendelee kuongoza nchi hali yeye akiwa hapendi hata kidogo kuendelea.
Source: Mimi na kusoma-soma kwangu magazeti yetu na sredi za JF !!