asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,040
habari wana MMU....
nina mdogo wangu wa kiume ambaye hv karibuni niliporudi kutoka chuoni nimemkuta yupo katika mahusiano na mwanamke ambaye anaonekana ni bibi ila yeye anadai ni msichana mdogo na anampenda sana. nimejaribu kufatilia historia ya huyo bibi kiukweli siyo nzuri sababu ameuza hadi baa... nifanyaje mwenzenu sababu huyu dogo hashauriki. nina wasiwasi labda huyu bibi amemroga mdogo wangu. kinachoniuma huyu dogo ndo kwanza yupo kidato cha tano nishaurini wadau....!!!
Kwanza, uchawi haupo.
Pili, kwani mtu kuuza baya ni vibaya?
Kama kuuza baa ni vibaya, kwa nini kwenda kunywa baa si vibaya?
Stereotypes of backward societies....
usiseme uchawi haupo,sema hujawahi kurogwa. Na kama kitu hakijawahi kukutokea haina maana kua hakipo.
Uchawi upo sana...tena kuna hata research zime document hayo mambo...hata kwenye vitabu vya Mungu yapo...
mmekwisha, tabora ni mapangaboi.
kuanzia kama 29 hv mkuu.......
usiseme uchawi haupo,sema hujawahi kurogwa. Na kama kitu hakijawahi kukutokea haina maana kua hakipo.
Khaa. Godfrey Jackson, unamuita mwanamke wa miaka 29 bibi? Kwanza watake radhi wanawake kwa kuwazeesha. As a matter of fact, I once dated a 'bibi' and the feelings between us were fantastic. Mwache kijana ajifunze ulimwengu wa mahaba, 10yrs difference sio mbaya..
Uchawi au niseme nguvu zinazodaiwa ni za kichawi hazipo. Kama zipo niroge. Kama wewe huwezi tafuta mtu wa kuniroga aniroge. Au kama kuna yeyote mwingine atakayesoma bandiko hili na kutaka kunithibitishia kuwa kweli hizo nguvu zipo, basi na aniroge.
Mwenzako gfsonwin alichemsha licha ya kumpa green light ya kuniroga mara kibao.
Tatizo nikikuroga hutaweza kuja kuleta ushuhuda humu kua kweli yule jamaa nilimwambia aniroge kaniroga. Hakuna atakaekuja kuthibitisha humu kweli nimekuroga.
Vinginevyo tutafute third part atakaekuja kuthibitisha kua kweli umerogwa ili na wengine waamini.