Nahisi mdogo wangu amerogwa

Nahisi mdogo wangu amerogwa

Uchawi upo sana...tena kuna hata research zime document hayo mambo...hata kwenye vitabu vya Mungu yapo...

Upo sana tu. Mimi nimemwambia Nyani atafte mtu atakaekuja kuleta ushuhuda humu kua amerogwa maana nikimroga hataweza kuja kuleta ushuhuda humu.
 
Tatizo nikikuroga hutaweza kuja kuleta ushuhuda humu kua kweli yule jamaa nilimwambia aniroge kaniroga. Hakuna atakaekuja kuthibitisha humu kweli nimekuroga.

Vinginevyo tutafute third part atakaekuja kuthibitisha kua kweli umerogwa ili na wengine waamini.
watu wapo serious hakuna utani,,,,,,,!!!!😛eep:
 
watu wapo serious hakuna utani,,,,,,,!!!!😛eep:

Kwani nani hayupo seriou? Wewe unaloliona kwako sio serious kwangu ni serious and the vice versa is true labda uniambie sio mada au haihusiani na mada hii hapo ntakuelewa vingnevyo hii ni serious kwangu.
 
Thread hii imenikumbusha songi la Picco la "nakupenda bibi kizee, nakupenda kikongwe *2"
 
Kwani nani hayupo seriou? Wewe unaloliona kwako sio serious kwangu ni serious and the vice versa is true labda uniambie sio mada au haihusiani na mada hii hapo ntakuelewa vingnevyo hii ni serious kwangu.
unataka kumroga Nyani ngabu duuuuuuuuuuuh!!!!!!!!!!!!
mfanye kila akijisikia haja akajisaidie baharini...........................!!!!!!!!!!!
 
Namshangaa mtoa.mada, atachemsha.

Niliwahi ona kijana anabebwa kwwnda kuoga, afu kinapelekwa na kigoda. Sikuwahi piga chabo kipindi.hicho basi sitapiga tena. Nilikuwa nakuwa curious sana kujua kigoda cha.nini?

Hao ndio wataalam wa shanga.

Mwache dogo atoe shombo bwana,na huyo dada angu wa kinyamwezi ni sehemu sahihi kwake.Chezea shanga kibao za kinyamwezi wewe cc Kongosho
 
Dooo saaalaleee.. Jitahidi kumuweka chini atakuelewa tu. Kidato cha tano bado mdogo aisee hangaika usichoke
 
Tatizo la wabongo ndo hlo, mtu akipenda eti karogwa! ukute macho yako mabovu mabint wawaona wazee na wzee kama mabint.
 
kwahy mkuu ndugu yako mfano akiwa anatembea na mtu mwenye HIV na wewe unajua utamwacha!!!

huwezi jua mpka wewe umegundua wanaweza kuwa na miaka mitatu sasa hapo itasaidia nini kumuokoa nduguyo mwache tu apumzike kwa amani kama sumu keshainywa
 
Inaonekana na wewe tu una tatizo na hujakua

Tangu lini mapenzi ya ndugu yakaingiliwa na ndugu mwingine?
Hapo sasa....
Au kwa vile bibi sio Nyamihela??
Wanaochukuliwa na vibabu wamerogwa??
 
Ni mkubwa kwa mtoto wa F5, but sio bibi, vinginevyo mtanifanya niwe ajuza wa mkongojo

dogo wa kidato cha tano na dada wa miaka29 aiseeee huoni haijakaa vyema bidada atafute size yake
 
Kuwaita wanawake wenye 29 mabibi kunaonyesha hata wewe ni under 20, coz kama ni above 25 huwezi kuwaita hivyo.

Miaka 29 ni used sana. Ninwabibi au unaweza kuita wachakavu au wakuukuu
 
Acheni masihara nyie.. Kwanza ingekuwa otherwise situngesema ubakaji huo. Huyo ni mtu mzima kabisa atafute saizi yake maswala mapenzi hayana sio kabisaaa. Hivi nyie mnaoshangaa ingekuwa ukweli nindugu yako mngeyasema haya???? Halafu sio maadili ya kwetu Africa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom