Nahisi mdogo wangu amerogwa

Nahisi mdogo wangu amerogwa

habari wana MMU....
nina mdogo wangu wa kiume ambaye hv karibuni niliporudi kutoka chuoni nimemkuta yupo katika mahusiano na mwanamke ambaye anaonekana ni bibi ila yeye anadai ni msichana mdogo na anampenda sana. nimejaribu kufatilia historia ya huyo bibi kiukweli siyo nzuri sababu ameuza hadi baa... nifanyaje mwenzenu sababu huyu dogo hashauriki. nina wasiwasi labda huyu bibi amemroga mdogo wangu. kinachoniuma huyu dogo ndo kwanza yupo kidato cha tano nishaurini wadau....!!!

inasikitisha lakini inachekesha pia..........

bibi atakuwa anampa dogo ule mtandao pendwa...........
 
Khaa. Godfrey Jackson, unamuita mwanamke wa miaka 29 bibi? Kwanza watake radhi wanawake kwa kuwazeesha. As a matter of fact, I once dated a 'bibi' and the feelings between us were fantastic. Mwache kijana ajifunze ulimwengu wa mahaba, 10yrs difference sio mbaya..
 
Last edited by a moderator:
tafuta jamaa mwingine wa mbali mpe dili amtongoze huyo bibi then akikolea huyo bb.... tengeneza fumanizi huku dogo akiwepo.... mbona atamuacha chap
 
Uchawi upo sana...tena kuna hata research zime document hayo mambo...hata kwenye vitabu vya Mungu yapo...

Mimi namuelewa mno Nyani Ngabu akisema uchawi haupo since hata kuamini Mungu yupo haamini...ambao siwaelewi ni wale ambao wanaamini Mungu na wana dini zao wanazipigania halafu anakwambia uchawi hakuna while dini anaoyo claim kuamini ina amini uchawi upo
 
Last edited by a moderator:
Mwache dogo atoe shombo bwana,na huyo dada angu wa kinyamwezi ni sehemu sahihi kwake.Chezea shanga kibao za kinyamwezi wewe cc Kongosho
 
mwache dogo atoe vumbi, mshauri atumie raba sana na asifanye sarakasi za ajabu na huyo muajuza, just normal stuff..lol
 
usiseme uchawi haupo,sema hujawahi kurogwa. Na kama kitu hakijawahi kukutokea haina maana kua hakipo.

Uchawi au niseme nguvu zinazodaiwa ni za kichawi hazipo. Kama zipo niroge. Kama wewe huwezi tafuta mtu wa kuniroga aniroge. Au kama kuna yeyote mwingine atakayesoma bandiko hili na kutaka kunithibitishia kuwa kweli hizo nguvu zipo, basi na aniroge.

Mwenzako gfsonwin alichemsha licha ya kumpa green light ya kuniroga mara kibao.
 
Last edited by a moderator:
Hajarogwa mkuu, mdogo wako amekolea kwa bibi
 
29 yrs anaitwa BIBI sasa mbona humu jukwaani tuna vikongwe
cc, FaizaFoxy.
 
Last edited by a moderator:
mkuu 29yrs sio bibi, itategemea mdogo wako pia ana umri gani kama ana kuanzia 21+ bas ujue wanaridhishana na wanaona wanaendana ndo maana mdogo wako kadata

mwezi wa kumi anatimiza miaka 19 mkuu
 
Khaa. Godfrey Jackson, unamuita mwanamke wa miaka 29 bibi? Kwanza watake radhi wanawake kwa kuwazeesha. As a matter of fact, I once dated a 'bibi' and the feelings between us were fantastic. Mwache kijana ajifunze ulimwengu wa mahaba, 10yrs difference sio mbaya..

mr Eli79 kiuhalisia miaka 29 ni mtu mzima sana sioni nilipokosea labda mwanamke awe na umbo la kisheta!!!
 
Mwache dogo atoe shombo bwana,na huyo dada angu wa kinyamwezi ni sehemu sahihi kwake.Chezea shanga kibao za kinyamwezi wewe cc Kongosho

Kongosho unamsikia KIKUNGU anavyokuweka kama mfano anataka kutugombanisha!!!!!
 
Uchawi au niseme nguvu zinazodaiwa ni za kichawi hazipo. Kama zipo niroge. Kama wewe huwezi tafuta mtu wa kuniroga aniroge. Au kama kuna yeyote mwingine atakayesoma bandiko hili na kutaka kunithibitishia kuwa kweli hizo nguvu zipo, basi na aniroge.

Mwenzako gfsonwin alichemsha licha ya kumpa green light ya kuniroga mara kibao.

Tatizo nikikuroga hutaweza kuja kuleta ushuhuda humu kua kweli yule jamaa nilimwambia aniroge kaniroga. Hakuna atakaekuja kuthibitisha humu kweli nimekuroga.

Vinginevyo tutafute third part atakaekuja kuthibitisha kua kweli umerogwa ili na wengine waamini.
 
Kwa hiyo hamna uchawi.
 
Uchawi au niseme nguvu zinazodaiwa ni za kichawi hazipo. Kama zipo niroge. Kama wewe huwezi tafuta mtu wa kuniroga aniroge. Au kama kuna yeyote mwingine atakayesoma bandiko hili na kutaka kunithibitishia kuwa kweli hizo nguvu zipo, basi na aniroge.

Mwenzako gfsonwin alichemsha licha ya kumpa green light ya kuniroga mara kibao.

Si umeshakuwa mzungu mpaka umesahau mnavyochukuana misukule.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom