Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,430
- 108,589
wewe acha kuzinguwa watu pimbi wewe, binti wa miaka 29 kwa nini unamwita bibi?weka ushauri wako na wewe ili nipate hesabu kamili mbona unategemea maoni ya wenzio!!!!:ranger:
wewe acha kuzinguwa watu pimbi wewe, binti wa miaka 29 kwa nini unamwita bibi?weka ushauri wako na wewe ili nipate hesabu kamili mbona unategemea maoni ya wenzio!!!!:ranger:
ha!! ha!! ha!! ha!! ha!!
mkuu mbona umepanic sana kwani una miaka mingapi....!!!!😛ound:
kama Bibi alikua anamiliki Bar yake akaiuza kuna tatizo gani hapo .Tafuta sababu ya msingi ya kutueleza hapa jukwaani
huyo bibi anamsaidia dogo asije akabaka huko mtaani.na hilo ni suala la muda tu dogo atagundua anachofanya sio kama kweli ni bibi yuko nae mtafutie dogo demu mwingine mkali hiyo hali itaisha
weka ushauri wako na wewe ili nipate hesabu kamili mbona unategemea maoni ya wenzio!!!!:ranger:
kama Bibi alikua anamiliki Bar yake akaiuza kuna tatizo gani hapo .Tafuta sababu ya msingi ya kutueleza hapa jukwaani
huyo bibi anamsaidia dogo asije akabaka huko mtaani.na hilo ni suala la muda tu dogo atagundua anachofanya sio kama kweli ni bibi yuko nae mtafutie dogo demu mwingine mkali hiyo hali itaisha
kuanzia kama 29 hv
miaka 29 unamuita bibi wakati mwenzio ndo kwanza jua linachomoza,,,,,
Hapo sasa....
Au kwa vile bibi sio Nyamihela??
Wanaochukuliwa na vibabu wamerogwa??
doesn't mean i failed dude!!!Uchawi au niseme nguvu zinazodaiwa ni za kichawi hazipo. Kama zipo niroge. Kama wewe huwezi tafuta mtu wa kuniroga aniroge. Au kama kuna yeyote mwingine atakayesoma bandiko hili na kutaka kunithibitishia kuwa kweli hizo nguvu zipo, basi na aniroge.
Mwenzako gfsonwin alichemsha licha ya kumpa green light ya kuniroga mara kibao.
kuanzia kama 29 hv mkuu.......
kiukweli mi nashindwa kabisa kumwacha sina imani kabisaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
kuanzia kama 29 hv mkuu.......