Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo.
Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza mionyonya Watanzania, Wahisi kwamba Wao kama Watanzania hawana Wajibu wa Kupigania Nchi yao, Wananchi wajihisi Jukumu lao ni kulala na Kulala na kumuachia Mungu.
Hali hii utafanya MIOYO ya Watanzania Kupoa, kutulia huku wkaijipa MIOYO ,kusubiri Wakati wa Mungu kutenda Miujiza, .Katika kipindi hiki Cha kusubiria, MIOYO ya Watu itakua imesharidhika na Matokeo , hawataona umuhimu wa Kupambania Nchi yao, Kisha kama Mzaha, SAMIA ANAGONGA 2030.
Wanachotafuta Wanamtandao ni MUDA ,yaan wanahitaji Muda kujipanga ,Wanahitaji Muda kuhalalisha Utawala wao, Wanahitaji Muda kuweka mambo Yao sawa.
Na Ili wapate Muda, wanatafuta namna kwanza ya Kuwatuliza Wananchi, Kisha wapate huo Muda.
Ikiwa Wananchi wataendelea Moto bila Kupoa Wala Kumuachia Mungu, Hii Serikali Kila kiti watakiona ni Cha Moto !!!! .
Mbinu hii inaitwa 'Jiunge nao '.
Hii Mbinu inafanyika katika hatua Mbili.
1-SAMIA SULUHU ASIONEKANE MAHALI POPOTE PALE .
2-NCHIMBI ASIONEKANE MAHALI POPOTE PALE.
3-MANABII KUTOA UNABIII
( Lakini mtakua mnamuona Mara Moja Moja Samia au Nchimbi wanajitokeza ,mara Moja Moja sanaaaa, Kisha Wanapoteaaa kimyaaaaa ,nyiemnaanza kuwatafuta baada ya Mwezi anaonekana, itakua hivo mwezi Hadi mwezi, mwaka Hadi mwaka mnadhangaa 2026 IMEISHA !!!.)
Kutokuonekana Kwa Samia kutaongezea hali ya kuaminika Kwa Manabii , na Sintofaham ya Wapi alipo, anafanya nn, ni mzima wa Afya au lah, itaendelea Kuwapa Moyo Watanzania , wadhanie Ile siku ya SAMIA KUFA IMEFIKA.
Hivo Watanzania watauacha Wajibu wao wa Kupigania Nchi na Kuikomboa.
LISSU ALIWAHI SEMA "NCHI HAKIKOMBOLEWI KWA MAOMBI, WALA HAKUNA KUMUACHIA MUNGU, NCHI INAKOMBOLEWA KWA MAPAMBANO ".
RAI YANGU " Tuwasikilize Manabii na jumbe zao, ila Kama Wananchi Tuendeleze harakati zetu za Kuikomboa Nchi kupitia MAANDAMANO na Kila linalowezekana ".