Swali nikuulize, kama wema anatakiwa awe huru kumsapoti anaetaka, mbona marafiki zake hawako huru kumsapoti diamond? Refer kesi yake na aunty ezekiel.
Dalili za uoga washaona team mondi hawatetereki na kampeni zao.
Katunzi wa wapi picha ile ya wiki kama 48 zilizopita basi ka mimba inakaa muda wote huu haya subirieni tu ni uamuzi wenu.
Ila watu mnavyoongelea waume za watu siku ikija nyie kuongelewa kama mke au mume mtajisikiaje.
Mbona wa TZ wengi hamna heshima na kuheshimiana? Ungekuta ni sibling wako mngepalalia udaku kiasi hiki.
Mnasikitisha kisa ni chuki....haya kuleni bata na kukosa usingizi kisa Diamond.
Kesi iliyofunguliwa na shigongo hahah kweli we greAt thinker! Kesi mnaanzisha nyie na kuhukumu nyie, mtoto wa watu anaweka mabango ya kiba tu!
Nyie ndo mnatetereka hadi mnaanzisha threAd eti kuna kampeni ya kumdidimiza mondi! Tulieni kama mnajiamini
Hiyo picha ya kura imerushwa insta na mpiga picha wake Kifesi.
Teamwork kama kawa
Huyo anaeblogia anampenda kajaa wivu nae, kaa sio basi angekuwa anamsifia anapostahili. yeye hapendi kuona wengine wanapaa anajipiga kichwa na stress za maisha ya watu kuwaandika uongo asilimia kubwa akidhani anawashusha kumbe bonge la promo za bure. kashazoeleka
Katunzi wa wapi picha ile ya wiki kama 48 zilizopita basi ka mimba inakaa muda wote huu haya subirieni tu ni uamuzi wenu.
Ila watu mnavyoongelea waume za watu siku ikija nyie kuongelewa kama mke au mume mtajisikiaje.
Mbona wa TZ wengi hamna heshima na kuheshimiana? Ungekuta ni sibling wako mngepalalia udaku kiasi hiki.
Mnasikitisha kisa ni chuki....haya kuleni bata na kukosa usingizi kisa Diamond.
Nyani haoni kundule mbona nyie na mfalme domo kutwa kucha kumtukana wema? Angekuwa sibling wako ingekuwaje? Asiyeheshimu mume wa mtu ni nani kati ya hawa! Yule anayetoka uganda kuja kulala na mme wa mtu? Au anayemtukana mume wa mtu kwa kusaliti ndoa yake' tulieni jamani tulieni msipanick kama mfalme
Heeee kwa hiyo hata kuanzisha thread ni dhambi acheni basi.Nyie ndo mnatetereka hadi mnaanzisha threAd eti kuna kampeni ya kumdidimiza mondi! Tulieni kama mnajiamini
shame on you kuandika re kundule...so kila anayempenda Diamond na Zari ni timu basi tena, fahamu wengine tunasimama wenyewe kwa uamuzi wetu na tunafurahia tukiona wanaongelewa...wakidisiwa uongo na bila facts tunashusha. Sasa kama mie niliye fan wa Zari miaka mingi unaniambia mambo ya timu iweje?
Wengi nyie ndio mnataka kuharibu nakutopaisha wanamuziki kisa ujinga wa maneno bila kufikiria inawaharibia nini, kuwakimbizia nini, kisaikolojia inawafanyaje pia wenyewe?
kama mie naishi na my music collection ya wanamuziki niwapendao hata ninaopenda labda mwimbo 1 tu, kama nina fav wangu ni uamuzi wangu, kama napenda mziki huu silazimishiki kupenda mwingine. mfano tunasikiliziaga LSG kama wa LSG kwa maendeleo na maisha yao kujulikana kisolo pia hao unazani wangekuwa wapi kama ingekuwa TZ na tabia hii mbovu iliyoingia wengi?
hakuna point ya maana ___mtu anayeweza kuongelea kwenye tv mme wa mtu ni big no heshima na no kujiheshimu kabisaaaaa.
Pia na kumsema kutungia inatia aibu kutaka kuchafua watu na maneno na kusingizia basi mimba ina wiki 48 kama vile hamumuongelei mme wa mtu, furahisheni roho zenu kutwa kuota kutu.
heshimuni ndoa za watu sio mnataja majina ya wanaume/wanawake ovyo, bila kusahau couples hata kama hazijafunga ndoa pia...yakiwakuta mtasikiliziwa.
Heeee kwa hiyo hata kuanzisha thread ni dhambi acheni basi.
Alosema dhambi nani wewe?? Acha kujjshtukia
we nawe naona umevurugwa, tutolee shombo hapa za huyo mtu wenu, eti chekecha! kwani tupo mashineni hapa???? mtasubiri sanaaaaa kufikia level ya CHIBU!Msingetetereka msingeanzisha uzi huu, wala kuandika magazeti mitandaoni, teeehteeeeh
Timu mondi mkiongozwa na Mfalme wenu mlianza kupaniki baada ya kuona mabango ya kiba! Mkaanza kelele, asiyejiamini hapo??? Sisi ndo raia na kiba ndo anapigiwa kura. Mwambie mondi tunasubir part 2
Geniveros diamond mlimuona poa sana alipokuwa na wema,. Kwani diamond hatukanwi na team wema? Je wanatumia majina yao au anonymous? Mkuki mtamunkwa nguruwe sio,?
Wema kamtosa mwenyewe aache kujipendekeza maana mna act kama diamond ni super criminal baada ya kuachana na wema. Naamini angekuwa na wema hadi leo msingekuwa mnaropoka ropoka ovyo na kumtukana huyo kijana. After all wote waislam, si wanaruhusu jino kwa jino? Jamaa atukanwe, akirudisha ni kosa kwani yeye ana moyo wa vyuma? Pelekeni ujinga wenu huko kijitonyama kwa vimbwa vya boss wenu,
Kama alimtosa jamaa mwenyewe anahangaika nini tena? Jamaa kazuia kila upande anamwita ana iq ndogo, bora mwenye iq ndogo anaekuwa real kuliko anaejiona mwema but fake from head to heart.
we nawe naona umevurugwa, tutolee shombo hapa za huyo mtu wenu, eti chekecha! kwani tupo mashineni hapa???? mtasubiri sanaaaaa kufikia level ya CHIBU!
Toa kibanzi kwenye jicho lako kabla ya boriti kwenye jicho la mwenzio, eti mtu anayeongelea mume wa mtu kwenye tv no kumuheshimu, sasa huyo anatofauti gani na mtu anayejipiga picha akiwa anakiss na mume wa mtu hadharani? Rejea picha ya bibi bomba na mzamili na nyinginezo, bila kuacha ile video akijipiga madole. Tatizo timu mondi mnajifanya mko clean sana kumbe ni wachafuzi zaidi ya huyo wema mnayamsema, na sie bibie tunasimama tukiona mnatukana mtu kwa tabia fulani ambayo hata huyo mnayemkumbatia anayo. Anyway mwambie mondi tunasubiri part 2, ya kudiss KTMA mana alisema ataitupia, au kaona upepo umeeda kusi! Hahhaahahhaahhaah
we nawe naona umevurugwa, tutolee shombo hapa za huyo mtu wenu, eti chekecha! kwani tupo mashineni hapa???? mtasubiri sanaaaaa kufikia level ya CHIBU!