Sio anaowataka yeye huo ndo ukweli.. Huwezi ukamuacha Mo music kwenye category ya wanamuziki chipukizi halafu watu wakanyamaza tuu
Sio nongwa ila tunamshangaa ALLY kwa kuwaacha WAJINGA FULANI kwa kutumia mgongo wake kwa ajili ya visasi vyao na sio kwamba wanampendaYaani Wema na Jokate kumuombea kura Alikiba imekuwa Nongwa yaani mlitegemea Wema na Jokate wamuombee kura Diamond wakati Diamond mwenyewe kakataa kuomba kura? Kama Diamond mwenyewe kakataa kujiombea kura basi akijitokeza mtu wa kunuombea kura atakuwa ni mjiinga wa kutupwa
Eti wanataka hata ile video ya mwana aliyoimba chooni sijui bafuni ndio iwe video bora
ndio hivyo tena team wema wameamua kumbeba kijana wa watu msobe msobe, hahahahaaaa hii inaitwa unataka hutaki tunakupigia kampeini, na LENGO KUU ni kumkomesha diamond, sidhani kama kiba kaomba hii backup kubwa hivi. nae si ajabu anashangaa.Aisee mbona mi naona ni kama aibu na fedheha kwa Kibba kuwaacha waendelee kufanya wanachofanya kwa sababu tu wanataka kulipa kisasi kwa kutumia jina lake narudia tena NI AIBU NA NI FEDHEA KWA KIBBA NA WANAOJIITA TEAM YAKE KUKUBALI KUTUMIKA KAMA SILAHA M-BADALA YAO
Nyimbo kama Nitajuta na
Niseme zinastahili kuchukua hiyo Tuzo...
Ila kamwe Dai hawezi kunyimwa usingizi na Ally... tatizo ally na team
yake wanatumia nguvu kubwa sana kumwangusha wakitegemea
watapanda
ndio hivyo tena team wema wameamua kumbeba kijana wa watu msobe msobe, hahahahaaaa hii inaitwa unataka hutaki tunakupigia kampeini, na LENGO KUU ni kumkomesha diamond, sidhani kama kiba kaomba hii backup kubwa hivi. nae si ajabu anashangaa.
Huko kwenye categories nyingine sawa,ila alikiba akichukua video bora ya mwaka itashangaza maana video ya mwana huwezi fananisha na nitampata wapi au mdogo mdogo.
Na lazima alikiba atashinda tu video bora maana wameweka video mbili za diamond pamoja,halafu ya alikiba moja ,kwahiyo lazima kura ya diamond ijigawa,so alikiba atashinda tu
Hahaha mkuu umetisha. Nimesoma hoja za dogo platnumz zina mashiko, ya moto band wako wapi? Christian Bella? Kwa maoni yangu hakuna wasanii wachukue tuzo nyingi kama hawa, wamefanya kazi nzuri sana. Hii ishu ya chuki kwa diamond hajaanza leo, lakini dogo is too smart for them. Yupo na vigogo wa tania kama mameneja zake, na wazee wa majungu, hivyo hawamuwezi. Halaf dogo ana nidhamu ya kazi na heshima kwa watu. Tofauti na wasanii wengine wanaolewaga umaarufu. Watashindwa tu, I thought jokate was too smart for that.. Kumbe ndo walewale.Hao waungane wote wote Wema, kiba, joketi, Ivan, na wafuasi wao ila watakaa tu. Kumpandisha kobe kwenye mti sio rahisi.
HTa yule mme wake zari waliyeachana nae anampa support ally just for revenge... Ila ally anachekelea maana anapata free promo
Nani mchagga? Au umekuwa sheikh Yahya nn sku hzi unatabiri hadi kabila la Anonymous
Kama wanadhani itakuwa rahisi basi wajue hawatashinda.. Aliyepewa kapewa.
Hizi tuzo zao wanataka kuzirudisha kule kule zilipotoka. Eti Baraka DE prince anapewa kwa wimbo upi? Mbona ni wa mwaka huu? Mo music ameachwa kwa nini! Mtunzi bora eti Jux yumo dah yani wangejua huyo Jux hawezi ata kushika pen kuandika wimbo! Wapi Christian Bella Obama? Wapi Yamoto band? Wananchi wakiwapotezea kama BSS au Maisha Plus mtakosa kufanya biashara zenu. Mtabaki kulaumu.
Yani draft limevurugwa vurugwa ili walipange wanavyotaka.
hujielewi wewe!!
kosa liko wapi kwani kwa baadhi ya wasanii kuoewa sapoti
una chuki we kaka sijapata kuona mi sinpendi daimond lakini simchukii kias hicho km wewe unavyomchukia kiba
ndo mwanaume hapo utakuja kua mchawi wewe si bure
kwanza mwanaume akishavua zaidi ya mara tano na mimba ukachoropoa,na zaidi akakutema kwa dharau na kashfa watu wote wakajua basi wewe mwanmke ujue huna mpya!!
Kujifanya unataka kumpanda kichwani sijui wenyewe wanataka kumkomoa HAWATASHINDA zaidi wanajidhalilisha na kujishusha thamani.
Biashara yao ya kuuza dudu imefeli sasa hivi wameanza kukopesha!!kweli usichezee usichana hata kidogo!wakina nacy,nasreem,klynn,hoyce,faraja na wengineo wote wamelamba dume!hawa wauzaji wameambulia garasa inachekesha kweli
ila kweli nimeamini usishindane na aliyepewa aisee, najiuliza upinzani mkubwa anaoupata diamond toka kwa hizi team mbili kubwa( team wema na team kiba) na bado hajaonesha dalili ya kupepesuka, Mungu ni wa ajabu sana kwa kweli, watu wamefanya kila njia ili mradi tuu diamond afulie lakini wanaishia kupata aibu, sasa wameamua kuunganisha nguvu, ili tu kumuangusha diamond na bado mtapata aibu nawaambieni.
Hahaha mkuu umetisha. Nimesoma hoja za dogo platnumz zina mashiko, ya moto band wako wapi? Christian Bella? Kwa maoni yangu hakuna wasanii wachukue tuzo nyingi kama hawa, wamefanya kazi nzuri sana. Hii ishu ya chuki kwa diamond hajaanza leo, lakini dogo is too smart for them. Yupo na vigogo wa tania kama mameneja zake, na wazee wa majungu, hivyo hawamuwezi. Halaf dogo ana nidhamu ya kazi na heshima kwa watu. Tofauti na wasanii wengine wanaolewaga umaarufu. Watashindwa tu, I thought jokate was too smart for that.. Kumbe ndo walewale.