Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

Nahisi kuna campaign dhidi ya Daimond

el nino

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
4,712
Reaction score
5,064
Licha ya kwamba kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake ila it is not a coincidence ma ex wote wa Mwanamuziki Diamond Platnumz wanafanya campaign za kushawishi watu wampigie kura ally kiba...si kwa vile ni mashabiki wa ally kiba ila ni Figisu Figusu tuu na chuki za mafanikio ya Daimond

Alianza Wema, akaja Jokate na list itaendelea mpaka tukio la utolewaji wa Tuzo hizo... Vitu hivi vyote vinatokea sio kwa bahati mbaya ila watu hao kwa kujua Ally hana uwezo wa kushinda tuzo mbele ya Daimond baasi wameamua kwa makusudi kumfanyia campaign ally ili wafanye revenge ...

Ila uzuri mmoja Mondi bin laden amewaambia kuwa yeye sio size yao..... Atawapelepweta bure

ImageUploadedByJamiiForums1431368275.957671.jpg ImageUploadedByJamiiForums1431368301.116888.jpg
 
Kama wanadhani itakuwa rahisi basi wajue hawatashinda.. Aliyepewa kapewa.

Hizi tuzo zao wanataka kuzirudisha kule kule zilipotoka. Eti Baraka DE prince anapewa kwa wimbo upi? Mbona ni wa mwaka huu? Mo music ameachwa kwa nini! Mtunzi bora eti Jux yumo dah yani wangejua huyo Jux hawezi ata kushika pen kuandika wimbo! Wapi Christian Bella Obama? Wapi Yamoto band? Wananchi wakiwapotezea kama BSS au Maisha Plus mtakosa kufanya biashara zenu. Mtabaki kulaumu.

Yani draft limevurugwa vurugwa ili walipange wanavyotaka.
 
kwanza mwanaume akishavua zaidi ya mara tano na mimba ukachoropoa,na zaidi akakutema kwa dharau na kashfa watu wote wakajua basi wewe mwanmke ujue huna mpya!!

Kujifanya unataka kumpanda kichwani sijui wenyewe wanataka kumkomoa HAWATASHINDA zaidi wanajidhalilisha na kujishusha thamani.

Biashara yao ya kuuza dudu imefeli sasa hivi wameanza kukopesha!!kweli usichezee usichana hata kidogo!wakina nacy,nasreem,klynn,hoyce,faraja na wengineo wote wamelamba dume!hawa wauzaji wameambulia garasa inachekesha kweli
 
na tutawapwelepweta kwelikweli ohooooo... Kwa miaka mitano kwenye game, mezani tunazo tuzo 15 za KTMA waache wastaafu wajiliwaze kwa pamoja maana dangote anawaotesha majipu kwelikweli... sema tu mi namuoneaga huruma kibakuli, tar 29/11 mwaka jana dangote anapopata tuzo tatu kwa mpigo jamaa ndio alikuwa anasheherekea bday yake chumbani kwa maumivu makaaaali saaana,, imekuja may 2 mwaka huu dangote anaingiza mamilioni kwenye party ya karne yeye amevamiwa daaaah....,
 
kama mashabiki wa muziki mzuri dangote lazima
azizoeee mwaka huu,,,
Jinsi ya kumpigia kura Diamond kwenye tuzo za
KTMA katika vipengele alivyowekwa andika
GA1,
FB2,
DA3,
BB4,
AJ3 na
AH2
tuma kwenda namba 15415.
Kupiga kura kwa watsap tuma hizo code
kwenda namba 0686528813.
Pia online kupitia
www.ktma.com
 
na tutawapwelepweta kwelikweli ohooooo... Kwa miaka mitano kwenye game, mezani tunazo tuzo 15 za KTMA waache wastaafu wajiliwaze kwa pamoja maana dangote anawaotesha majipu kwelikweli... sema tu mi namuoneaga huruma kibakuli, tar 29/11 mwaka jana dangote anapopata tuzo tatu kwa mpigo jamaa ndio alikuwa anasheherekea bday yake chumbani kwa maumivu makaaaali saaana,, imekuja may 2 mwaka huu dangote anaingiza mamilioni kwenye party ya karne yeye amevamiwa daaaah....,

ahaahhaa umesahau na kuruka ukuta!!
 
Kama wanadhani itakuwa rahisi basi wajue hawatashinda.. Aliyepewa kapewa.

Hizi tuzo zao wanataka kuzirudisha kule kule zilipotoka. Eti Baraka DE prince anapewa kwa wimbo upi? Mbona ni wa mwaka huu? Mo music ameachwa kwa nini! Mtunzi bora eti Jux yumo dah yani wangejua huyo Jux hawezi ata kushika pen kuandika wimbo! Wapi Christian Bella Obama? Wapi Yamoto band? Wananchi wakiwapotezea kama BSS au Maisha Plus mtakosa kufanya biashara zenu. Mtabaki kulaumu.

Yani draft limevurugwa vurugwa ili walipange wanavyotaka.

Kitendo cha video mbovuuu kabisa ya Mwana kuwekwa halafu video kama pacha wangu kuachwa ni matusi makubwa kwetu
 
na tutawapwelepweta kwelikweli ohooooo... Kwa miaka mitano kwenye game, mezani tunazo tuzo 15 za KTMA waache wastaafu wajiliwaze kwa pamoja maana dangote anawaotesha majipu kwelikweli... sema tu mi namuoneaga huruma kibakuli, tar 29/11 mwaka jana dangote anapopata tuzo tatu kwa mpigo jamaa ndio alikuwa anasheherekea bday yake chumbani kwa maumivu makaaaali saaana,, imekuja may 2 mwaka huu dangote anaingiza mamilioni kwenye party ya karne yeye amevamiwa daaaah....,

Yaani kila siku avamiwe yeye ... Kuna kipindi hata TID eti aliambiwa alitaka amuue
 
Back
Top Bottom