Nahisi kumpenda my "Workmate"

Nahisi kumpenda my "Workmate"

litaanzaje wakati halina tactics...
yani kaingilia battle ambayo siyo matching kwake..
angekua mume wa mtu na yeye angeelewa kumkwepa..ila kinuka mkojo....hakioni mbali ..hela yake hapo kalipia geto kanunua boxer kanunua gesi kwao kalipa madeni kalipa kodi mchezo umeishaaa.....kala bia na masela mavi wenzie wameadisiana wamesapotiana wanaona ndo maisha...

anaanzaje kuona upande wa mumw w a mtu mwenye hayo yoteee, tena doubled maana ana familia mbili commitment mbili nk..yani uo uchungu wake huyu kwake anaona kawaida si amekingwa na kutazama kwa ufupi kwa upeo wa mke wa mtu
I have Life Mkuu, Na Kazi ya Maana Tu, Sio ya Kuunga Unga
 
kesho akihama kazi akienda pengine napo atakutana na watakao mjengea mazingira akawa na furaha..our POINT IS MAZINGIRA YAWE NA MIPAKA..usijidai una vuka mipaka ya MME WAKE maana huna haki hata kwenye jicho la sheria....
Akihama, Mimi Hanihusu Tena
 
Mimi huwa nashangaa sana mtu kuja kuomba ushauri kuhusu kama atoke na mwanamke ambaye tayari anajua ni mke wa mtu.

Hizi akili ni za kichwa cha juu au cha chini? Unajua kabisa mtu ashawekewa beacon bado unaomba ushauri? Ebu acha kuharibu swaum za watu kwa kuomba ushauri kwenye masuala ya kipuuzi.

Alafu hapo kazini ulifata uzinzi au kufanya kazi? Usijifanye hujui kilichokupeleka. Utaishia kukosa vyote. Pambaf
 
iko hivi mwanake huwa akipenda ata kama ameolewa ujue lazima ataliwa tu na hii hutokea kutokana na mazingira alioko, mimi kama mimi nisinge achaa maana kama anajua yuko kikazi na ameolewa kwanini asijiheshimu
 
huyu mse.n.ge anataka kunto akwenye fomu na fleni za leo hapa..ngoja nikacheki zangu boli...
ila jitoe ufahamu ivo ivo......
tena wewe unaonesha maji ya kunde una mi lips wewe utafaa sana..
endelea kujidai mpole mpole na mimiwani yako ka kobe...
Punguza Jazba, Mbona Ni Vitu Vya Kawaida Hivi
 
iko hivi mwanake huwa akipenda ata kama ameolewa ujue lazima ataliwa tu na hii hutokea kutokana na mazingira alioko, mimi kama mimi nisinge achaa maana kama anajua yuko kikazi na ameolewa kwanini asijiheshimu
Acha kuendekeza ujinga mkuu, kwani lazima uzini nae? Akijileta wewe jitoe jiweke pembeni. Siunajua ni mke wa mtu?
 
hapana hilo sio jukumu langu hlo ni jukumu lake yeye maana kama umeolewa kuna mipaka kama mwanamke lazima uwe nayo kama mazoea na watu. ku hug, kukiss, kupokea zawadi kwa mtu back, kukubali out, kuji weka mazingira ya kuliwa so MI NAKULA MTINGIJOLI Hakikisha unakula then nipe feed back kwa DM
 
Wewe chapa tu! Mbaya kushikwa tu.....watakukata hiyo bamia upate adabu!🙁🙁
 
hapana hilo sio jukumu langu hlo ni jukumu lake yeye maana kama umeolewa kuna mipaka kama mwanamke lazima uwe nayo kama mazoea na watu. ku hug, kukiss, kupokea zawadi kwa mtu back, kukubali out, kuji weka mazingira ya kuliwa so MI NAKULA MTINGIJOLI Hakikisha unakula then nipe feed back kwa DM
Karma is a bitch.. Kula tu lakini jua nawewe kuna siku utaliwa
 
hapana hilo sio jukumu langu hlo ni jukumu lake yeye maana kama umeolewa kuna mipaka kama mwanamke lazima uwe nayo kama mazoea na watu. ku hug, kukiss, kupokea zawadi kwa mtu back, kukubali out, kuji weka mazingira ya kuliwa so MI NAKULA MTINGIJOLI Hakikisha unakula then nipe feed back kwa DM
[emoji23]
 
Sijui kwa nn wake za watu wanakuwa wepesi hivyo,yaani unaweza ukala hivi hivi wala hata hawaogopi.........achana naye utakuja fanyiwa vibaya ndugu binadamu sio wazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom