MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
- Thread starter
- #161
Mh!Wafanyakazi wa crdb bhana!!...
Mh!Wafanyakazi wa crdb bhana!!...
Mimi Anipe Ninachotaka, Na Anarespond Nzuri Tu, Sina Shida Na Ndoa Yake, Aendelee Nayo Tudat y wanaume wanaoa la 7, we unajua mkeo yupo job kumbe, , , OK NAKUSHAUL UOKOKE UTAFUTE MCHUMBA HALALI WA KUOA USIPINDUE NDOA YA MTU,
Wapi Nimesema Nataka Vunja Ndoa Yake?Unajiskiaje kuvunja ndoa ya mtu? Unaharibu furaha ya mwanaume mwenzako
Hopeless
Wapi Nimesema Nataka Vunja Ndoa Yake?Anakuita baby na wewe unamuita baby...Anakuita my na wewe unamuita my.....Anakuita wiii n wewe unamuita wiiii.....
Sasa siku moja mtashea dushe moja maana wote ni wanawake! Kidume unaandika ukiwa umelegeza mkono! Nyie maafisa mikopo wa mabenki mna shida sana!
Nihakikishie Usalama Wangu KwanzaHiyo ofisi yenu inadeal na nin?