Nahisi kufa kwa mawazo

Huo ni upunguani hauna matibabu

mwache leo vinginevyo Disemba mwaka huu utakuja hapa ukiwa huna bikira yoyote
 
Men wengi tunatumia hiyo kitu, olewa tu au kuwa gumegume tule hiyo kitu na ndoa usimuliwe
 
huo ni upunguani hauna matibabu

mwache leo vinginevyo Disemba mwaka huu utakuja hapa ukiwa huna bikira yoyote

Hahahahah!! Moyo wa kupenda jamani unakuwa na kigugumizi sana,sema ajikaze tu amwache mambo hayo hayapendezi mbele za mungu na kwa binadamu pia. Kemea pepo hilo
 
Hahahahah!! Moyo wa kupenda jamani unakuwa na kigugumizi sana,sema ajikaze tu amwache mambo hayo hayapendezi mbele za mungu na kwa binadamu pia. Kemea pepo hilo

Hiyo kupenda ya hivyo ni mbaya bana
 

Mtaje Jina Lake Huyo Mwimbishaji
 
Dah... Yani tabia mbaya sana hyo... Nakushauri muache tu... Lazima atakuja kukusalit au lah uumpe wewe
 
mimi nasubiria ulete hapa mrejesho akishafumua hayo marinda
 
Kwani si mlikutana kila mtu ana meno yake 32....ya nini umng'ang'anie

nimemweleza mama ake mzazi ni mtu wa dini ananiambia tusali na kufunga kumuombea eti ni aibu sana kusema tunaachana kwa sababu hiyo. ila nimemweleza ukweli hisia zangu
 

then fata moyo wako unavyokutuma kuachana naye. Kuh cha kuwaambia wazazi...waeleze mmeshindwana tabia na anakupelekesha kama mtoto na ni mbabe! kiasi kwamba mnagombana mara kwa mara. Mbona hayo maelezo yanatosha wazazi kukuelewa, coz wataona kama ktk uchumba maelewano hamna je mkiingia kwenye ndoa!

ILA kwa kuzingatia maadili na kuepuka mabifu...usiwaeleze wazazi wala ndugu kuh swala la kinyume na maumbile, ili muachane kwa amani na atakuheshimu daima.
 
Inna Lilah mwenyezi mungu kasema mtu anayefanya vitendo hivyo hataingia peponi kamwe
 
Kuacha mbona inawezekana sana tu!!! Wapo wengi walikuwa na hako kamchezo na wameacha.
Japo yote hutegemea mtu na dhamira yake. Huo ni mchezo mchafu na usiruhusu kuanza, atakuharibu na itakuwa ngumu kuacha coz mtakuwa wote ndani ya ndoa na katakuwa kamchezo kenu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…