Nahisi kufa kwa mawazo

 
Last edited by a moderator:
SINABAHATI

Wewe endelea nae tu lakin ipo siku ndo utajua kama ameacha au la. Nianachomaanisha ni "ukianza kula nyama ya binadamu huwezi acha" Iwe unampenda sana au la kama hutaki aku-sodomize kaa mbali nae na muogope kama ukoma
 
Last edited by a moderator:
sio lazima tatizo nampenda sana mpk nahisi ntapata shinikozo la damu kwa jinsi ninavoumia

Kwahiyo utakufa naye? Hapo wewe unapenda elimu yake + ushamba wako ukisikia mtu kasoma nje ya nchi. Wadau wamekueleza vizuri tu lakini inaonekana wewe ni kichwa ngumu, sasa nenda akazibue choo, harafu baada ya miaka miwili likitanuka sana uje utupe mrejesho.
 
Angalia na kizazi chenu msije shangaa kuwa na watoto wa namna hiyo
 
SINABAHATI

heri nusu shari kuliko shari kamili. kama kweli hupendi ufirauni/ushetani huo, achana naye sasa, kuliko kusubiri mkiwa kwenye ndoa...mshindwane... ndo muanze mlolongo mreeefu ambao utaishia kumuaibisha jamaa coz kila kitu kitakuwa hadharani kuwa mnaachana kwa sababu gn! na hiyo itasababisha uadui kati yenu coz jamaa ataona umemdhalilisha(hataona makosa yake). Kiukweli hata sasa mkiachana kuna usumbufu na complictn zitatokea coz ni mchumba rasmi huyo... bt ni afadhali kuliko zitakazotokea mkiachana mkiwa wanandoa.

nakwambia hivyo kwa sababu wakishaingia kwenye hizo tabia, kuacha ni MUUJIZA! Na ktk kuchukua maamuzi magumu kama hayo ya kuachana na umpendaye...maumivu makali hayaepukiki! bt Mungu ni mwaminifu, kwa kitendo cha kishujaa kama hicho cha kukataa uovu atakuponya majeraha yako na kukupa mtu sahihi! na jamaa utamsahau. Watu wanafiwa na wapendwa wao, wanadata lakini baadae maisha yanaendelea...sembuse hili! Mungu ni mwaminifu
 
Last edited by a moderator:
we tafunwa tuu,,,, maana Hakuna namna sasa
 
As long as umekiri kuwa UNAMPENDA SANA (nadhani unapenda pesa zake tu nyambafu wewe),that means that hata kuliwa 0713 unakupenda pia kwa hiyo usimuache mpe 0713 na ndoa mfunge!
 
 
Last edited by a moderator:

Samahan simpendi kwa sababu ya elimu wala kusoma nje nikumpenda tu kwa dhati ambapo sikutegemea tabia hizo na tunamiaka saba sasa katika mahusiano.nawaza nitawaambiaje wazazi kuhusu hili? na kiukweli pamoja na kumpenda moyo wangu unanituma kuachana maan pamoja hiyo tabia ni mtu mbabe sana.kiufupi hajui mwanamke anahitaji nn zaiddi ya kuniendesha kama mtoto mdogo
 
As long as umekiri kuwa UNAMPENDA SANA (nadhani unapenda pesa zake tu nyambafu wewe),that means that hata kuliwa 0713 unakupenda pia kwa hiyo usimuache mpe 0713 na ndoa mfunge!

Duu comment yako imenipa hasira maan maumivu niliyonayo moyon hayaelezeki.kuacha siyo ishu tatizo mtu anakuambia kaacha halafu dalili unazion japo mimi nina misimamo.je wazazi niwaambieje hapo kugumu
 

Asante kwa ushauri wako.nshaanza kujiandaa kisaikolojia maana maumivu ya kuachana mhuu ila mungu atasimama na mimi
 
Hapo wala hakuna mjadala...ni either of the two, ufunganye/ufungashe virago au umwambie "nifundishe polepole inauma" na kamwe usitarajie kuwa ataacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…