SINABAHATI
Member
- Jun 1, 2015
- 21
- 11
Pole sana dada ang. Kwan lazima uwe nae?
ni ngumu sana kuacha anaweza akajifanya kapotezea kwa sasa ila ndoa itakua ndoano utampa tuu....kama si kukimbia ndoa!
mahari rudisha mama aende kwa watoaji atakutesa tu....
sio lazima tatizo nampenda sana mpk nahisi ntapata shinikozo la damu kwa jinsi ninavoumia
mbona thread mbili tena yaliyomo yaleyale?? ndo umevurugwa na mawazo au
Dada achana na umajinuni ati "nampenda sana" kama kweli unamhitaji mpeleke mahala husika akatoe kiapo na ajue taathira za ufuska huo !!! Halafu ndo uweze kujidhamini na utoe uamuzi bora....!! (still bado siyo mwisho wa dunia.... utabarikiwa tu)sio lazima tatizo nampenda sana mpk nahisi ntapata shinikozo la damu kwa jinsi ninavoumia
AsstaghFirullah !!