Acha kununua bando la kuja kupiga umbea humu jf. Badala ake tumia hiyo pesa kwenda kununua Vibebeo mubadala na kuiviuza masokoni.. utazalisha mkuu Wala hutalialia ovyo Namna hii.
Kuhusu Mapenzi Achana nayo kwanza Maana kupata hisia za Mapenzi wakati huna pesa hizo Ni dharau.
#LIFE IS GOOD, The future ft Drake. Pia download huu wimbo utakufariji na kukuonyesha njia na Namna ya kufanya ili angalau maisha yawe mazuri.
Natumai kijana umenielewa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.