chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,165
- 2,416
Maisha yamenipiga sana mpaka mchumba wangu kanikataa sijajua kama kachukuliwa na mwingine au hapana. kazi imekuwa ngumu kupata na maisha ya dar ni magumu sana. pamoja na hayo yote nmekuwa na msongo wa mawazo mpaka naanza kuhisi kuchizi. nifanye nini ndugu zangu