Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

Cog

Member
Mar 18, 2018
89
189
Siamini sana mambo ya nyota ila kwa yanayonitokea yanajifanya niamini hivyo, mimi ni mtumishi na nilikuwa na miradi yangu nje ya kazi lakni ni miaka miwili sasa mambo yamekuwa magumu sana, biashara nimefunga mambo yote yamesimama kila nikipanga kufanya jambo fulani kunatokea kitu cha kuvuruga mpaka nakata tamaa, maisha yamekuwa magumu mpaka inafika wakati nakosa hata hela ya kula wengi wananishauri niende kwa wataalamu yaani waganga wa kienyeji ila nasita kufanya hivyo. Hali hii sijui inasababishwa na nini kwakweli
 
Walimwengu ni wabaya, hawataki maendeleo ya mtu, ni kweli nyota zipo na zinachukuliwa ukizubaa. Ila kumpata mtaalamu wa kweli hapa mjini ni shida, nakushauri uende kijijini kwa wazee wa jadi wakupe mwongozo. Ujue hizi dini zinapumbaza watu, wajanja wanafanya haya mambo kimya kimya.
 
Siamini sana mambo ya nyota ila kwa yanayonitokea yanajifanya niamini hivyo, mimi ni mtumishi na nilikuwa na miradi yangu nje ya kazi lakni ni miaka miwili sasa mambo yamekuwa magumu sana, biashara nimefunga mambo yote yamesimama kila nikipanga kufanya jambo fulani kunatokea kitu cha kuvuruga mpaka nakata tamaa, maisha yamekuwa magumu mpaka inafika wakati nakosa hata hela ya kula wengi wananishauri niende kwa wataalamu yaani waganga wa kienyeji ila nasita kufanya hivyo. Hali hii sijui inasababishwa na nini kwakweli
Mhhhh
Kwa waganga ndo utapotezwa kabisa.

Mkuu,Huwa unatoa sadaka? Sadaka sio lzm kanisani ht Kwa watt yatima,wajane nk
Huwa unaomba na kumkabidhi Mungu kwanza?

Eneo la mahusiano likoje? Umeona? Maana mambo ni mengi

Kazini kwako,unaishi vipi na staff wenzio,wakoje?
 
Siamini sana mambo ya nyota ila kwa yanayonitokea yanajifanya niamini hivyo, mimi ni mtumishi na nilikuwa na miradi yangu nje ya kazi lakni ni miaka miwili sasa mambo yamekuwa magumu sana, biashara nimefunga mambo yote yamesimama kila nikipanga kufanya jambo fulani kunatokea kitu cha kuvuruga mpaka nakata tamaa, maisha yamekuwa magumu mpaka inafika wakati nakosa hata hela ya kula wengi wananishauri niende kwa wataalamu yaani waganga wa kienyeji ila nasita kufanya hivyo. Hali hii sijui inasababishwa na nini kwakweli
Nadharia mbili au Tatu;-

1.Mungu anakujaribu kama Ayubu,ikiwa wewe ni mkristo wa kweli kabisa wa kutoa sadaka Kwa Mungu.

2.Kule kwenu Kama Kuna watu walijua mambo safi hasa ukoo was Baba Yako au mama yako wakachukia labda hawapokei chochote Toka kwako Waka set pin code za kiroho uharibikiwe na kweli Huwa wanafanikiwa!

3.kazini kwako members was staff au kiongozi wako wamekupiga kama ulikua unakuja Kasi sana kuliko wait!hasa bifu za kisaikolojia Huwa!zipo!

4.kuna jina uliitwa ukiwa mdogo la Babu au Bibi au shangazi au mjomba yako na mhusika alishatangulia,hujaenda siku nyingi kuomba Misa au Dua kwa hao!huwa wanazingua sana aiseh!!

Nina personal experience na hiyo mkuu ,aidha muombaji was kweli au mMganga was iweli ndio utatoboa!!
 
Afanye kazi Kwa bidii na awe nidhamu ya PESA.
 
Siamini sana mambo ya nyota ila kwa yanayonitokea yanajifanya niamini hivyo, mimi ni mtumishi na nilikuwa na miradi yangu nje ya kazi lakni ni miaka miwili sasa mambo yamekuwa magumu sana, biashara nimefunga mambo yote yamesimama kila nikipanga kufanya jambo fulani kunatokea kitu cha kuvuruga mpaka nakata tamaa, maisha yamekuwa magumu mpaka inafika wakati nakosa hata hela ya kula wengi wananishauri niende kwa wataalamu yaani waganga wa kienyeji ila nasita kufanya hivyo. Hali hii sijui inasababishwa na nini kwakweli
Unge ongea biashara ulio kua unafanya zikavulugika tunge kushauri kama ni chota au complex ya biashara yako, au uchumi wa nchi, ila usikurupuke kuenda kwa mganga.
 
Back
Top Bottom