Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

Nahisi kama nyota yangu imechukuliwa

Nahisi Hapo shida kubwa ni mkopo na kuanzisha biashara usizozijua
Hapana biashara nimeanza nazo siku nyingi na zilishanipa mafanikio kama kujenga kuwa na gari kuwekeza katika ardhi ila yote haya yanapululuka kama manyoya ndicho namaanisha
 
Ndugu hayo ni majira tu unapitia,Kila kitu kina majira yake kama wakristu tunavyoelezwa katika MHUBIRI 3:1-8, kuwa Kuna wakati wa kucheka na wakati wa kulia
Changamoto ya Sasa tunawakosa akina Yusufu kama wa kwenye Bible wa kutufunulia miaka ya njaa na miaka ya Shibe Ili tufanye Maandalizi stahiki kama alivyofanya Pharaoh .
Ushauri wangu ,usiende Kwa waganga watakuvuruga zaidi ni kumuomba Mungu majira ni mzunguko mambo yatakaa sawa.
Hata Mie niliwahi kupitia kipindi kigumu sana mamba kazini na mtaani yakaparaganyika mpaka nikahisi nimerogwa lakn baada ya kupata ushauri wa jinsi majira yanavofanya kazi nikaona Kuna vitu nilikuwa nahangaika navyo wakati ambao sio sahihi na mambo mengine wakati ulipofika yakanyooka bila kutumia ndumba yoyote na sasa nipo sawa
Asante kwa kunitia moyo
 
Siamini sana mambo ya nyota ila kwa yanayonitokea yanajifanya niamini hivyo, mimi ni mtumishi na nilikuwa na miradi yangu nje ya kazi lakni ni miaka miwili sasa mambo yamekuwa magumu sana, biashara nimefunga mambo yote yamesimama kila nikipanga kufanya jambo fulani kunatokea kitu cha kuvuruga mpaka nakata tamaa, maisha yamekuwa magumu mpaka inafika wakati nakosa hata hela ya kula wengi wananishauri niende kwa wataalamu yaani waganga wa kienyeji ila nasita kufanya hivyo. Hali hii sijui inasababishwa na nini kwakweli
Fanya ibada kila siku bila kuchoka utaona tofauti lkn pia chunguza ukoo wenu hakuna mchawi unaemtilia mashaka? Omba mungu akuoneshe wabaya wako na watajitokeza live bila chenga.Ukiwabaini wabaya wako wakabidhi kwa mungu utashuhudia wakila kichapo kikali na ukimudu alika adui mmoja aje kwako kwa dina mchanganyie masayansi kwenye msosi kamfukie kwenye tuta kilaini.
 
Siamini sana mambo ya nyota ila kwa yanayonitokea yanajifanya niamini hivyo, mimi ni mtumishi na nilikuwa na miradi yangu nje ya kazi lakni ni miaka miwili sasa mambo yamekuwa magumu sana, biashara nimefunga mambo yote yamesimama kila nikipanga kufanya jambo fulani kunatokea kitu cha kuvuruga mpaka nakata tamaa, maisha yamekuwa magumu mpaka inafika wakati nakosa hata hela ya kula wengi wananishauri niende kwa wataalamu yaani waganga wa kienyeji ila nasita kufanya hivyo. Hali hii sijui inasababishwa na nini kwakweli
Umewahi kuwa na nyota na uliitoa wapi?
 
  • Thanks
Reactions: Cog
Humu jf huna uliekosana naye?
Kuna vizee na vidada vichawi sana humu,
Nilishapishana na kidada kimoja kidogo tuu humu,
Kikaniambia "unalinga na hizo mali zako tutaona"

Nikajiuliza nina mali gani sasa?
Nafika nyumbani vikuku vyangu vyote vimekufa mpaka mapaka..
Halafu kinakuja kunisalimia eti Hiiii
Hahahahahaj HV Kweli mkuu au umechapiaa unanogesha ucahwi
 
  • Thanks
Reactions: Cog
Nadharia mbili au Tatu;-

1.Mungu anakujaribu kama Ayubu,ikiwa wewe ni mkristo wa kweli kabisa wa kutoa sadaka Kwa Mungu.

2.Kule kwenu Kama Kuna watu walijua mambo safi hasa ukoo was Baba Yako au mama yako wakachukia labda hawapokei chochote Toka kwako Waka set pin code za kiroho uharibikiwe na kweli Huwa wanafanikiwa!

3.kazini kwako members was staff au kiongozi wako wamekupiga kama ulikua unakuja Kasi sana kuliko wait!hasa bifu za kisaikolojia Huwa!zipo!

4.kuna jina uliitwa ukiwa mdogo la Babu au Bibi au shangazi au mjomba yako na mhusika alishatangulia,hujaenda siku nyingi kuomba Misa au Dua kwa hao!huwa wanazingua sana aiseh!!


Nina personal experience na hiyo mkuu ,aidha muombaji was kweli au mMganga was iweli ndio utatoboa!!
No 2.Hiii inawakuta wengi sana,Yaaani ndugu zetu wa KiAfrica wanatupiga pin sanaaaa.Inahitaji maombi sanaaa.Ndugu wana roho za wivu na wanataka nyote muwe masikini

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
nenda kasafishe nyota kisha weka kinga mtu akikujaribu tena limkute baya mara 10 yake(kiafrica) ila imani yako usiiache sali sana kama kawaida
 
Back
Top Bottom