2024 am billionaire
Member
- Jan 3, 2024
- 7
- 5
Kuhusu mambo magumu Huwa ni chaguzi zetu wenyewe tu ambazo tunazichagua iwe kwa kujua au kutokujua sawa kwanza badilisha mtazamo wako kuhusu maisha pesa nakazalika pia chukua chumvi ya mawe changannya na majani ya mbaazi uogee usiku usiogee chooni ukiwa unaoga nuia unachotaka iwe kuondoa nuski na mabalaa au kudhihirisha pia jifunze kufanya meditation itakusaidia kama una amini waganga nenda TikTok kmtafute tazgeniousplatnam atakusaidiaa