Vera ginger
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 1,456
- 1,868
Mungu akubariki na kukuongezea ulipotoa na akumbuke msaada unaoutoaMkuu mimi niliwahi kupoteza kazi katika mazingira kama hayo mbaya zaidi ndio ilikuwa kipindi namchumbia mke wangu.Nakuelewa unachomaanisha Sasa naomba nikuunganishe na jamaa zangu Fulani hope watakusaidia ila naomba tusifahamiane na hata ukifanikiwa usinitafute tujuane pili nitumie namba yako ya mpesa au tigo pesa inbox Mimi nitafanya muamala kea wakala tu pole sana mkuu // Soma kitabu cha ayubu ukumbuke mapito aliyopitia na jinsi Mungu alivyomuinua Tena baadae.
Superbug.