Nahisi kama naota vile

Nahisi kama naota vile

My kaka yupo wii, sema mambo yamemzidia. Hope unajua pia alipo wii si ndio?
Ila utafiti na babu [MENTION=9760]Asprin[ww/MENTION] kama siwaelewi elewi unajua, nipeleke salamu nini?

najua wiii nampenda sana
afu wapotezee hawa wanogesha genge
Excel is my oxygen
 
Last edited by a moderator:
hongera shost sasa sijui nikuite wifi au huyo kaka nimuite shem
 
Mi ndo mwenyekiti wa mods wagawa ban. Kama wewe naweza kukulima ban mpaka kwenye seva kama utakuwa upande wa utafiti kwenye huu mtongozo rasmi.

Dah!!!! Naona tunatishana sasa, basi ngoja niwe mpole. But ninahasira na wewe sana uliniuzia mbuzi kwenye gunia halafu ukasepa. Anyway mbona kama inaonekana huyu binti miss neddy hakutambui wewe isipokuwa utafiti?
 
Last edited by a moderator:
Baba mkwe unaniweka mtegoni, mtoto wako akiona hapa italeta matatizo kwenye familia yenu.
Kwa ba mkwe ni heshima tu hahahaaa

Siezi kukuweka kwen ntego usioweza kuunasua Bantu lady lol...dogo tumemtuma dukani
 
Last edited by a moderator:
Dah!!!! Naona tunatishana sasa, basi ngoja niwe mpole. But ninahasira na wewe sana uliniuzia mbuzi kwenye gunia halafu ukasepa. Anyway mbona kama inaonekana huyu binti miss neddy hakutambui wewe isipokuwa utafiti?

○○○#hahhahaaaaaaa ....Babu mkali kweliiiiii....leo mie mtazamaji....kazi kubwa hapa kweli...!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaa mkuu thread yenyewe ipo hapa kwa kudra za mwenyezi Mungu..mods wakiiona wanaeza kuitrash kabisa

Si umeona sasa jamaa Asprin ananitisha kabisa bila wasiwasi kwamba nikiwa upande wa utafiti nakula ban mpaka kwa server. Thread ishavurugika hii inaonekana mwenye nayo anapenda jokes
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom