Sa ngapi tunaenda kusugua gaga, nikarushe wowowo siku iishe.....
jinafasi mama ndo umeachiwa yule handsome boy!!!! evelyn we mkareeee nimekukubali!
Sa ngapi tunaenda kusugua gaga, nikarushe wowowo siku iishe.....
Hahahaha ndo naitumia mimi.
..
..Babuuu.. salute to you....Babuuu...hiv vitoto hivi vinatembea na wazeee...na mibaba ...kashindikana ...sasa kinakuja hapa kinatutukana BABUUU...
..Hata wanawake wenzake wanakashangaa...kashakuwa mzoefu na wanaume wote..sasa kanaanza kutukana mibaba...sijui yeye mrembo...cjui yeye ni nn vile...sijui yeye na mkurya...cjui yy ni kinini vile...Huyu hana bikra zote huyu...kasha kuwa scraps babuu...
..mchape viboko babu huyu...!!
aiseeeeeeeeee naomba king asipite mitaa hii babu cheza kwa step
Naona ntafungua bucha...nimempa iphone mpya naomba aniletee na box yake.. miss neddy wa 19 anaenda kwa babu wa 65 ????
aisee ningekukosa kwenye huu uzi sijui ingekuaje watu wana nyota za kupendwa kutishia kufa kidogo tu tayari kapata mume!!Hongera yaan muda mfupi tu hivyoo hayaa,uzurii utaandika tenaaa humuu
Dada yake nipo hapa, wifi kumbe kaka yangu akiwa busy na shughuli zake nawe wachepuka tena mwingine kizee hivyo hahahahaa
Nikishapita Chalinze umri wangu unasoma 25.
Na sie wa kariakoo si tutakua na 5?
What???? Naota au??? miss neddy haya umeandika wewe?
kesi yangu na wewe itasikilizwa kesho. uje na wakili mzuri
Ntamchapaje na bakora yangu ishachoka. Huyo inaelekea mzoefu wa bakora za vijana. Wanamchapa kotekote mpaka kapagawa na kuwa sugu.
hahahah nyie bado hamjazaliwa. Ndo maana miss neddy akanichagua mimi.
Haya wifi karibu ukuryani.
Bado mtoto msameheni, msimchukulie kivile.
Mwacheni afurahie wakati wake
nakuchukia kuliko serikali ya ccm