Nahisi kama naota vile

Nahisi kama naota vile

Wivu tu hunalolote

Sina wivu my dia🙂...nikuonee wivu mtu hata sikujui...nakwambia ukweli una move too fast...huwezi kujenga nyumba kwa siku moja rafiki....na hata ukiijenga unaanza kwenye msingi kwanza sasa wewe umeruka step zote waweka mabati wakati hata matofali hujaanza kuweka hio itakuwa nyumba kweli?uhusiano wowote haujengwi hivo!!unataka kuniambia umechunguza tabia za huyo mkaka kwa siku moja kugundua kama ni perfect match??:what:maana hukawii kutuanzishia uzi mwengine lol
 
here we gooo agaaain, drama queen in da house
 
kila la heri... Ukipendwa pendeka ...!
 
Haya dada muombe Mungu akufikishe pale unapopatarajia salama .Kila la heri
 
Hongera yaan muda mfupi tu hivyoo hayaa,uzurii utaandika tenaaa humuu
 
Back
Top Bottom