Nahisi kama najisumbua

Nahisi kama najisumbua

Just move on, uwe busy kufight kwa love huna cha kufanya?
 
Wewe wasema mkuu....lakini bado nakusisitiza acha kuchezea wanawake maana zinaa na uasherati sio misifa....

haya bhana mkuu nipe councelling as u can....!!!!!!!!!!!
 
haya bhana mkuu nipe councelling as u can....!!!!!!!!!!!

Mimi nakushauri don' trouble ya'self na nyanga za mapenzi kwa sasa...

Ya still young na ndio kwanza upo mwaka wa kwanza kama sikosei...

Huu si muda wa kuanza kuwaza ndoa, kwa sasa mshike elimu maana hii ndio stage ambayo unasomea jambo ambalo ni msingi wa career yako...
 
Mimi nakushauri don' trouble ya'self na nyanga za mapenzi kwa sasa...

Ya still young na ndio kwanza upo mwaka wa kwanza kama sikosei...

Huu si muda wa kuanza kuwaza ndoa, kwa sasa mshike elimu maana hii ndio stage ambayo unasomea jambo ambalo ni msingi wa career yako...

peleka kuleee niache nile maisha nikifa leo unaihisi nitasema nini kwa mungu.......!!!!!
lazima nitii amri...!!!
 
ila sijamwonyeshea dharau yoyote kwake hadi kwao kwann wanifanyie hivyo!!!!
tatzo sio kumuonyesha wewe mwenyewe nafs yako imemdharau tayar, na kingne unaeza ukawa hujaonyesha ila maneno au vtendo vyako hata kwa bahat mbaya tayar imeshakupunguzia maksi na swala jengne hujwah kukaa ukajiuliza kwannn hao ndugu zake wakupinge wewe
 
Habari zenu wana MMU

Labda niende moja kwa moja, nina mpenzi wangu ambaye kiukweli nampenda na yeye ananipenda ila nina kitu kinanikwaza.

Huyu mwenzangu yeye hana elimu kwani form 4 alipata zero.


Pia amejaribu kurudia ila mambo yale yale, upande wa familia ya kwao ni kaka yake tu anayependa penzi letu ila waliobaki hawataki kisa eti wamemtafutia mchumba kijijini.

Sipendi kuonekana nimemchezea na kutoka moyoni nampenda kweli, nishaurini je, nikomae na hali hii au nitafute usawa mwingine.

Fight for your love wewe, kwani yeye ana matatizo gani zaidi ya kufeli fomfoo?

Hayo mengine ni wadhamini tu, tatizo wewe mwenyewe umeshaingiwa na hofu kuhusu elimu yake. Hadi hapo suala la upendo limeanza kujaribiwa, kama unampenda kwa dhati, sioni elimu kama ni tatizo. Usijeanza kumtafutia sababu mwenzio bure, kama elimu ni kitu ambacho kwa misimamo yako ni moja ya vigezo kwa mwenzi wako, tafuta mwenye hivyo vigezo japo huenda msipendane nae kama mnavyopendana na huyu mwenzio wa sasa.
 
mda ukifika utaoa hizo sababu zote mbwembwe tu kuashiria hujafika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom