Nahisi kama najisumbua

Nahisi kama najisumbua

wala usikomae ni sawa na kuridhi mjane baadae atakuja kujilaumu kwa nn hakuolewa na huyo jamaa yake hasa
mambo yanapokwenda mrama
 
Hebu acha kuumiza vichwa vyetu we kijana kufikiria namna ya kukushauri...

Kwani wakati unaanza kumpenda huyo binti hukujua kama ana elimu ya kidato cha nne na hakufaulu pia??



Ni kweli lazima wawe na wasiwasi kwa kuwa wewe ndio kwanza umejiunga na elimu ya chuo kikuu...

Haya mambo ya mapenzi yaache kwa sasa, soma shule yako hapo UDOM umalize maana elimu ndio urithi wako mwema...



Halafu acha kujikosha kuwa huna kawaida ya kuchezea wanawake...

Mbona huyu katika hii sredi hapa chini ulionekana kama unataka kumchezea?

4 Septemba 2013

https://www.jamiiforums.com/mahusia...nipeni-darasa-kidogo-nimepagawa-mwenzenu.html

mkuu watu 8 naomba ufute kauli kuwa nawachezea wasichana unafikiri huyo uliyemquort na huyu ninayemzunguzia ni tofauti.......!!!!
 
wala usikomae ni sawa na kuridhi mjane baadae atakuja kujilaumu kwa nn hakuolewa na huyo jamaa yake hasa
mambo yanapokwenda mrama

upo sawa kabisa mkuu!!!
ni heri niwe peke yangu tu kama wataona umuhimu wangu busara itafata!!!!
 
Hapo mkuu kuna issue 2 jaribu kuz'analyse.
1. Wazazi wake hawakutaki, hilo ni tatizo kubwa, huyo ni mtoto wa watu, ukae nae siku likitokea tatizo huna pa kuanzia, namaanisha huwezi kupata ushirikiano mzuri toka kwao.
2. Zero pia ni shidaaah, uelewa wake mdogo sana, ndio maana umesema anakusikiliza wewe tu, hana agguememet. Nina uzoefu na hayo masuala. Nilioa mwanamke mwenye zero, ni sheeeedaah!

daaaah!!!!! mkuu unanifunua kichwa sasa mnaishije au ndo kila kitu kwake "yes!"
 
Ki ukwel hapo uliposema tu form four kapata zero ndipo ulipoharibu na tatzo sio ndugu zake naona wewe ndio tatzo

bora wakamtaftie wa kijijin asiekua na habar za dvishen zerroooo

ila sijamwonyeshea dharau yoyote kwake hadi kwao kwann wanifanyie hivyo!!!!
 
Tunao oa/kuolewa kwaajili ya familia zetu.

Hivi kama ni kwenu wangekuwa wana mkataa huyo binti ungefanya nini?

Ukweli ni kwamba kwakuwa tunaoa/kuolewa kwaajili ya familia zetu huyo binti hamtodumu wala huto muoa labda uhakikishe familia yake ina kukubali.

Sio kwamba wamemtafutia mchumba kijijini bali kuna sababu zaidi ya hiyo Fanya uchunguzi.

yes inawezekana ila mtoto hanielezi kama kuna walakini wowote upande wa kwao labda nim'bane sana huenda kuna jambo kweli....!!!!
 
Inaonesha tatizo lako kubwa ni yey kufel fm foo coz ingekuwa tatizo kukutaliwa ukwen wala usingeeleza habar ya yeye kupata ziro, kumbuka maisha ni mipango na kujua namna ya kutekeleza mipango hyo ili kufikia malengo kisomo sio lazima kuna watu weng hawajasoma na wanamafanikio makubwa zaid kuliko walosoma.
 
Inaonesha tatizo lako kubwa ni yey kufel fm foo coz ingekuwa tatizo kukutaliwa ukwen wala usingeeleza habar ya yeye kupata ziro, kumbuka maisha ni mipango na kujua namna ya kutekeleza mipango hyo ili kufikia malengo kisomo sio lazima kuna watu weng hawajasoma na wanamafanikio makubwa zaid kuliko walosoma.

tatizo kubwa ni wazazi mkuu sio kufeli 4m 4........:A S 103:
 
tatizo lingine kila kitu namfundisha mimi jinsi ya kuishi na mpenzi hadi kitandani...... uzuri ananisikiliza na anaheshimu yote nimwambiayo!!!!
Anafanya vizuri sana kukusikiliza na kuheshimu mawazo yako, lakini je anakupa changamoto? Akiwa mtu wa kusikiliza na kusema "ndio mzee" utaumia...lazima akupe changamoto.
 
Kama hakupendi achana nae, kama anakupenda muoe na umfungulie kijiwe cha kuuza hata ice cream maana inaonekana hana kipaji cha kusoma!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom