bright mgalla
Member
- Jul 28, 2014
- 33
- 5
Akili mumkichwa kwako!
Kama sijaelewa vile....unasema wazazi wake hawakutaki au hawatak uhusiano wenu uendelee??? na kuhusu kidato mbona ni kawaida tu tena kafika kidato cha nne kajitaidi sana wewe kama unampenda komaa nae ila kama unatuletea mada wakati moyo wako uko kwa mwingine ni kazi bure...uamuzi unao wewe.
Habari zenu wana MMU
Labda niende moja kwa moja, nina mpenzi wangu ambaye kiukweli nampenda na yeye ananipenda ila nina kitu kinanikwaza.
Huyu mwenzangu yeye hana elimu kwani form 4 alipata zero.
Pia amejaribu kurudia ila mambo yale yale, upande wa familia ya kwao ni kaka yake tu anayependa penzi letu ila waliobaki hawataki kisa eti wamemtafutia mchumba kijijini.
Sipendi kuonekana nimemchezea na kutoka moyoni nampenda kweli, nishaurini je, nikomae na hali hii au nitafute usawa mwingine.
nishauri penzi liendelee!!!
Huyu mwenzangu yeye hana elimu kwani form 4 alipata zero.
upande wa familia ya kwao ni kaka yake tu anayependa penzi letu ila waliobaki hawataki kisa eti wamemtafutia mchumba kijijini.
Sipendi kuonekana nimemchezea na kutoka moyoni nampenda kweli, nishaurini je, nikomae na hali hii au nitafute usawa mwingine.
kipindi kifup nilichokuwa nasubiri matokeo nimejikuta najenga uhusiano na binti m1 ila simuelewi mwenzenu!!!!
aliniambia hajawah kukutana kimwili ila cku ya kwanza kumgegeda alilia sana na kuniambia anaumia hadi tumboni cha ajabu hakutokwa na damu!!!!
anaishi na mjomba wake ila hana mke na kasema alishatongozwa na huyo jamaa ila alimkatalia nahis kuongopewa, amekwenda mwenyew kujitambulisha kwa wazaz wangu.......
nafikiria kumwacha but had ss nimemgegeda mara 12
nipeni darasa nimwache au!!!!