Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
Nimeoa na ninaishi na mfanyakazi nyumbani.
Mke wangu kaenda kijijini kwao kumuuguza dada yake hivyo basi nyumbani nimebaki mimi tu na msichana wetu wa kazi.
Ijumaa usiku, nlirudi mapema sana nyumbani, binti akawa haishi kukatiza mbele yangu na kanga moja tu aliyojifunga kifuani, yaani kanga ilikuwa inaangaza sana hadi nikawa naioana chupi yake ya pikini pila hata kutumia nguvu.
Jumamosi alivaa kasketi kafupi sana, na kali kabisa ni ya jana usiku.
Alikuja kunigongea mida ya saa tano usiku, akisema chumbani kwake anasikia sauti za watu wanaongea dirishani.
Nikaenda kusikiliza hizo sauti, kukawa kimya kwa zaidi ya dk 15.
nikarudi chumbani kwangu kulala.
Saa saba akaja na kuniambia hawezi kulala kwa sababu ya woga hivyo anaomba nikalale naye.
Duhhhh, ikabidi nimwambie kuwa mi mwenyewe naogopa hizo sauti kwa hiyo akalale sebuleni.
Akaenda huko na hajanisumbua tena.
Kichwani nimebaki na maswali huyu binti ananiteha au mimi ndio nawaza vibaya?