Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena
....duuuh,
"Mbuzi kala kwa urefu wa kamba yake!"
Pole kaka, hata akija mwingine, "kinyama cha hamu, ukishakula huachi!" 😛ray2:
Mke hawezi fanya upuuzi huo, mume sio wamajaribio.Dah pole mkubwa wanawake ndivyo walivyo wanatutega sana sana. Hapo kuna mawili inawezekana mkeo amekutengenezea zengwe kuangalia mukari yako au huyo hg anamatizo zimempanda anataka. Ushauri wangu hebu kuwa naye makini mpige marufu hizo nguo zake unajua kama mwanaume ni lijaliii lazima utatamani tu, pia akiendelea hivyo mueleze bi mkubwa wako mumurudishe kwao mana atakuharibia huyo, mwisho hebu jaribuni kumpa nafasi awe anatoka mara moja moja anaweza kumpata wa kumpunguzi hiyo hamu.
Hakuna ubishi hapo pana mtego ndugu,,na ulivyomuona kavaa kikanga chepesi ilibidi uwe siriaz kumwambia avae nguo inayostahili,na hicho kisketi kifupi ilibidi umwambie either avae kanga au avae nguo yenye stara.Ukiendelea kumfumbia macho na mdomo yataendelea makubwa zaidi kama yaliyompata Yusufu kwa mke wa Potifa.Pia fanya utaratibu bwana wife arudi mjipange namna ya kumsaidia mgonjwa. Chukua tahadhari
Duh!!!!
Nauheshimu sana ushauri wako, lakini kwa jinsi ninavyompenda mke wangu, kamwe sito diriki kutembea na mwanamke yeyote zaidi yake.
only one day!!! hebu msome hapo chiniHaya bwana nitakukumbusha hiyo sentensi mika mitano ijayo!
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena
Kufanya hivyo Nyamayao inaonyesha kukosa imani na mwenzio. Mie ukinifanyia hivyo basi huyo HG asirudi nyumbani tena, labda kama una mtoto mdogo anaenda kukusaidia....kah . mbona mnatudhalilisha namna hii!!!na wewe pia umeshamtamani, akugongee saa 7 ucku ucmtimue ni nn? ameshaona ishara fulani kutoka kwako yeye anafanyia finishing tu...nashukuru cjawahi kuwa na house gal na kama ningekuwa mie ndio huyu mama ningesafiri nae kwenda kjjn, baba c una mikono ya kijisaidia cku mbili tatu?....kama Baba E yeye kwake ni kama kawaida kabisa.
kweli eh........huwa naamini ushauri toka kwa akinadada kuhusu mambo yanayohusu HG, ......and I mean it!huo ni mtego,mfukuzeni hafai,akishindwa hivyo anaweza akajaribu kwa njia nyengine.
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena
afroD ........u mean ahame nyumba au amtimue ................. itabidi na huyu wa kwetu tumtimue hahahhhhhhh..duuuhh pole lakini Kaa mbali naye...
Jamani leo uzalendo umenishinda.
Nimemmega hausi gel wangu , usiku mzima ulikuwa wa huba zito.
Nimejilaumu sana na niapa kuwa kamwe sitarudia kumega ma hausi gel.
Nimeshaongea na bi mkubwa kuwa aje na hausi gel mwingine huyu simtaki tena
Nanihii unajua watoto hawajalala huku.............hahahh:A S-confused1::A S-confused1: amepoteza kazi yake kwa raha ya nusu saa....
ndo tatizo la kutiwa na boss wako...
mi niliona amtimue...afroD ........u mean ahame nyumba au amtimue ................. itabidi na huyu wa kwetu tumtimue hahahhhhhhh..
hahah mbona Fab umechukia kama vile ni kweli ............... hapa wote hawa............ ifi si kuna kile chama cha kutete maHG siku hizi. Maana hapo jamaa lazima afunguliwe kasi ya uzalilishaji kazini ............mnh kama kweli mungu akulaani,uondoke na gonjwa lolote la kuambukiza!...:redfaces::redfaces:
Nanihii unajua watoto hawajalala huku.............hahahh
Mie naona kama ameshaanza kuwa na kiburi ................. sijui ameshaanza kujua vijana huko njemi niliona amtimue...
lakini naona jamaa kasha mapata naanataka kumtimua sasa..
balaa gani??
we unanipandishia pressure ....
borea uniambie unanidanganya sasa hivi..
maana huku ndani hatutaenea....
mmmhhhh mwenzangu mbona hicho kiburi sikioni???Mie naona kama ameshaanza kuwa na kiburi ................. sijui ameshaanza kujua vijana huko nje
au unampatia hela nyingi................