Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,303
Hellow guys
Leo nimetoka gym muda sio mrefu nimefika nimeangalia tamthilia yangu pendwa two brothers.
Baada ya kuisha nikaenda kuoga nimefika chooni nahisi harufu ya mlenda pori achana na mremba wa majani ya maboga ule mlenda pori unanukia balaa nikaona nikaoga nikamaliza
Sasa hapa bado nawaza je niite mganga aague au nikazane na maombi au nimebaki njia panda
Au ni kawaida