Uyo.anakufaa sana shida yako.wewe ni moja unataka kumuoa yeye na simu yake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Unastahili kofi moja la kurestore setting
ndivyo alivo ndo maana mimi niliamua kuachana naye nilimshindwa...alinipenda kama unavosema wewe ila sasa shida ndo hiyo nahisi anatatizoWakuu,
Nimekua kwenye uhusiano na binti.Ni takribani mwezi wa nane sasa.Wakuu siwezi kuficha huyu binti ananipenda sana tena sana
Amekuwa akinitafuta mara kwa mara hata nikiwa kaazini kunijulia hali, hataki niende kazini bila kumuaga, au nikirudi nimtumie sms kua nimerudi salama,Anakuja kwangu mara kwa mara kunijulia hali,Si kwamba anafanya hivu kwa kuigiza maana hata pesa sio kwamba namhonga pesa ndefu,Ni pesa ya kawaida tu ninayompa na hana tabia ya kuniomba pesa mara kwa mara,Sasa ishu kubwa ni moja
Huyu binti amekua na tabia ya kua kwenye mahusiano na wanaume wengine,Siku moja nilishika simu yake nikakuta charting zake na mwanaume mwingine aliyeonekana kuwa mty wake,Nilimuita binti nikamueleza kwanini hakutaka kuniambia kua anamahusiano na mtu mwingine?
Alilia sana na akanibembeleza akadai nimsamehe kwani yule si mtu wake kiuhalisi ananipenda mimi na hawezi kuni cheat yule anamchora tu,Nikamsamehe siku hiyo ikapita,
Mara ya pili huyu binti alikua amelazwa hospitali nilipoenda kumuona akanipa simu nimshikie aisee nilikuta sms karibu za wanaume watatu wote wanaonekana wana mahusuano nae,Nikasubiri aruhusiwe hospitali nikamuita nikamueleza
Nilikua na jazba sana nikamwambia kama vipi kila mtu ashike zake maana sioni mapenzi hapo zaidi ananichora tu na ni mnafiki
Aisee nilipomueleza hivyo alilia sana akaniambia anajitahidi sana kushinda majaribu ila anajikuta anafeli ila kiuhalisia ananipenda mimi na yuko tayari kuolewa na mimi maana mimi ndo chaguo lake,Sio siri siku hiyo alilia sana mpaka nikamuonea huruma mimi mwenyewe ikabidi nianze kumbembeleza,Hilo likapita
Juzi nilikuwa natoka kazini mida ya saa moja jioni nilimkuta yuko amekaa kwenye bodaboda na mwanaume na boda bodda imepaki na imezima taa,Nikapita kimya kimya lakini aliniona akaniita sikumuongelesha nikapitiliza,
Nilipofika nyumbani akanitafuta nikamwambia tena kuhusu nilivomkuta akanieleza huyo ni boda boda tu na hana mahusiano nae
Sasa leo nilikua nae nimekuja kushika simu yake ameinyakua haraka haraka nilipomuuliza akajiuma uma nikajua alikuwa anaficha tuu nisikague vilivyomo ndani,
Sasa mimi nimeona kama huyu mi hanifai kabisa kua mke wangu maana nahisi huko mbeleni ntakuja hata kumuua mimi mamana kwa sasa simchukulii hatua yoyote kwakua bado ni mpenzi wangu tu sijamuoa na wala hatujatambulishana, Sasa ishu ni kwamba kumuacha nataka lakini nashindwa kwani mimi kumpenda nilimpenda kweli na anaonekana ananijali sana,
Nikitaka kumuacha analialia mno hadi namuonea huruma,Kuna wakati nawaza labda ametupanga anatuchora tu,Lakini nawaza mbona mimi amenikomalia wakati hata simpi hela kubwa yani unaweza kukuta ananiomba buku mbili au buki tano
Au hata mwezi mzima nikampa elfu ishirini tu?
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia gani mpaka nimuache kabisa?
Ameniganda kama kupe, ila kashindwa kubadili tabia kabisa
Huu ni ugonjwa wa watu wengi na wengine wamefuta ujinga hadi shahada ila hawajui ni ku chat na sio kuchartHivi mpaka leo watu wanashindwa kutofautisha CHART na CHAT??
Wakuu,

Acha Ujinga kabisa....Umeambiwa ishi na nao kwa akili .Acha na ACHAAAAAAA KABISA kugusa simu ya mpenzi wako..hata mkeo...muamini anachokwambia...ikibidi mupe kabisa....
Utakuja kufa nakwambia au kuja ua...
Narudia acha kuingilia uhuru wa mpenzi wako wa kimawasiliano..
Yeye ni mwanamke na lazima wamtamani na kumtongoza, na kuna mabaharia kama mimi hata tuambiwe anampenz tuna ng'ang'ana tu...
Kingine ww kwanini unapenda kumkagua sana inaonekana hata weww pia ni Kubuhu kwa ukahaba wa kiume ....over
Acha
Acha
Acha kuingilia na kukagua mawasiliano ya mkeo au mpenz au mchumba na hata rafiki tu hata wakiume...utaumia sana...
nimeshaona wewe hausumbuliwi na Upepo wa kisulisuli bali Huruma. Hatuoi kwa sababu ya Kumhurumia mtu. Huyo mude ni kicheche. Hana fyucha. Listen to your gut. Temana naye hakufai.Wakuu,
Nimekua kwenye uhusiano na binti.Ni takribani mwezi wa nane sasa.Wakuu siwezi kuficha huyu binti ananipenda sana tena sana
Amekuwa akinitafuta mara kwa mara hata nikiwa kaazini kunijulia hali, hataki niende kazini bila kumuaga, au nikirudi nimtumie sms kua nimerudi salama,Anakuja kwangu mara kwa mara kunijulia hali,Si kwamba anafanya hivu kwa kuigiza maana hata pesa sio kwamba namhonga pesa ndefu,Ni pesa ya kawaida tu ninayompa na hana tabia ya kuniomba pesa mara kwa mara,Sasa ishu kubwa ni moja
Huyu binti amekua na tabia ya kua kwenye mahusiano na wanaume wengine,Siku moja nilishika simu yake nikakuta charting zake na mwanaume mwingine aliyeonekana kuwa mty wake,Nilimuita binti nikamueleza kwanini hakutaka kuniambia kua anamahusiano na mtu mwingine?
Alilia sana na akanibembeleza akadai nimsamehe kwani yule si mtu wake kiuhalisi ananipenda mimi na hawezi kuni cheat yule anamchora tu,Nikamsamehe siku hiyo ikapita,
Mara ya pili huyu binti alikua amelazwa hospitali nilipoenda kumuona akanipa simu nimshikie aisee nilikuta sms karibu za wanaume watatu wote wanaonekana wana mahusuano nae,Nikasubiri aruhusiwe hospitali nikamuita nikamueleza
Nilikua na jazba sana nikamwambia kama vipi kila mtu ashike zake maana sioni mapenzi hapo zaidi ananichora tu na ni mnafiki
Aisee nilipomueleza hivyo alilia sana akaniambia anajitahidi sana kushinda majaribu ila anajikuta anafeli ila kiuhalisia ananipenda mimi na yuko tayari kuolewa na mimi maana mimi ndo chaguo lake,Sio siri siku hiyo alilia sana mpaka nikamuonea huruma mimi mwenyewe ikabidi nianze kumbembeleza,Hilo likapita
Juzi nilikuwa natoka kazini mida ya saa moja jioni nilimkuta yuko amekaa kwenye bodaboda na mwanaume na boda bodda imepaki na imezima taa,Nikapita kimya kimya lakini aliniona akaniita sikumuongelesha nikapitiliza,
Nilipofika nyumbani akanitafuta nikamwambia tena kuhusu nilivomkuta akanieleza huyo ni boda boda tu na hana mahusiano nae
Sasa leo nilikua nae nimekuja kushika simu yake ameinyakua haraka haraka nilipomuuliza akajiuma uma nikajua alikuwa anaficha tuu nisikague vilivyomo ndani,
Sasa mimi nimeona kama huyu mi hanifai kabisa kua mke wangu maana nahisi huko mbeleni ntakuja hata kumuua mimi mamana kwa sasa simchukulii hatua yoyote kwakua bado ni mpenzi wangu tu sijamuoa na wala hatujatambulishana, Sasa ishu ni kwamba kumuacha nataka lakini nashindwa kwani mimi kumpenda nilimpenda kweli na anaonekana ananijali sana,
Nikitaka kumuacha analialia mno hadi namuonea huruma,Kuna wakati nawaza labda ametupanga anatuchora tu,Lakini nawaza mbona mimi amenikomalia wakati hata simpi hela kubwa yani unaweza kukuta ananiomba buku mbili au buki tano
Au hata mwezi mzima nikampa elfu ishirini tu?
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia gani mpaka nimuache kabisa?
Ameniganda kama kupe, ila kashindwa kubadili tabia kabisa
Asante sana kwa ushauriinawezekana kabisa akawa ni muaminifu ila wewe ndio unawivu ulipotiliza, yes hapa kwenye wivu tuko wengi na hakuna haja wa kujiumiza au kusubiri mpaka yakukute makubwa, wewe kama vipi mwambia achague moja, kukata mawasiliano yasiyo ya lazima na hao wanaume wengine au aachane na wewe, na usimamie msimamo kweli.
Akichagua kukata mawasiliano na siku ukamfuma tena ni hakuna kumuonea huruma, ACHA hata alie azimie afe.
Yule shem-darling mmemwagana tyariMi kiukweli sijui hata nampendaga nani au nipo nanani