Mi kiukweli sijui hata nampendaga nani au nipo nanani
Mkuu mkomalie abadilishe namba ya simu. Wapenzi wa zamani ni kama mizimu, huwa wanaibuka na mbinu tofauti sasa wanamchanganya mwanamke. Abadilishe namba ya simu fasta, akisave wengine tena kwenye hiyo mpya basi jua wewe ni mme wa kunguru rasmi hakyaMungu.Wakuu
Nimekua kwenye uhusiano na binti
Ni takribani mwezi wa nane sasa,
Wakuu siwezi kuficha huyu binti ananipenda sana tena sana
Amekua akinitafuta mara kwa mara hata nikiwa kaazini kunijulia hali, hataki niende kazini bila kumuaga, au nikirudi nimtumie sms kua nimerudi salama,
Anakuja kwangu mara kwa mara kunijulia hali,
Si kwamba anafanya hivu kwa kuigiza maana hata pesa sio kwamba namhonga pesa ndefu,
Ni pesa ya kawaida tu ninayompa na hana tabia ya kuniomba pesa mara kwa mara,
Sasa ishu kubwa ni moja,
Huyu binti amekua na tabia ya kua kwenye mahusiano na wanaume wengine,
Siku moja nilishika simu yake nikakuta charting zake na mwanaume mwingine aliyeonekana kuwa mty wake,
Nilimuita binti nikamueleza kwanini hakutaka kuniambia kua anamahusiano na mtu mwingine?
Alilia sana na akanibembeleza akadai nimsamehe kwani yule si mtu wake kiuhalisi ananipenda mimi na hawezi kuni cheat yule anamchora tu,
Nikamsamehe siku hiyo ikapita,
Mara ya pili huyu binti alikua amelazwa hospitali nilipoenda kumuona akanipa simu nimshikie aisee nilikuta sms karibu za wanaume watatu wote wanaonekana wana mahusuano nae,
Nikasubiri aruhusiwe hospitali nikamuita nikamueleza
Nilikua na jazba sana nikamwambia kama vipi kila mtu ashike zake maana sioni mapenzi hapo zaidi ananichora tu na ni mnafiki,
Aisee nilipomueleza hivyo alilia sana akaniambia anajitahidi sana kushinda majaribu ila anajikuta anafeli ila kiuhalisia ananipenda mimi na yuko tayari kuolewa na mimi maana mimi ndo chaguo lake,
Sio siri siku hiyo alilia sana mpaka nikamuonea huruma mimi mwenyewe ikabidi nianze kumbembeleza,
Hilo likapita
Juzi nilikua natoka kazini mida ya saa moja jioni nilimkuta yuko amekaa kwenye bodaboda na mwanaume na boda bodda imepaki na imezima taa,
Nikapita kimya kimya lakini aliniona akaniita sikumuongelesha nikapitiliza,
Nilipofika nyumbani akanitafuta nikamwambia tena kuhusu nilivomkuta akanieleza huyo ni boda boda tu na hana mahusiano nae,
Sasa leo nilikua nae nimekuja kushika simu yake ameinyakua haraka haraka nilipomuuliza akajiuma uma nikajua alikua anaficha tuu nisikague vilivyomo ndani,
Sasa mimi nimeona kama huyu mi hanifai kabisa kua mke wangu maana nahisi huko mbeleni ntakuja hata kumuua mimi mamana kwa sasa simchukulii hatua yoyote kwakua bado ni mpenzi wangu tu sijamuoa na wala hatujatambulishana,
Sasa ishu ni kwamba kumuacha nataka lakini nashindwa kwani mimi kumpenda nilimpenda kweli na anaonekana ananijali sana,
Nikitaka kumuacha analialia mno hadi namuonea huruma,
Kuna wakati nawaza labda ametupanga anatuchora tu,
Lakini nawaza mbona mimi amenikomalia wakati hata simpi hela kubwa yani unaweza kukuta ananiomba buku mbili au buki tano
Au hata mwezi mzima nikampa elfu ishirini tu?
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia gani mpaka nimuache kabisa?
Ameniganda kama kupe, ila kashindwa kubadili tabia kabisa
kumbe ruksa kushikana ila sio kushikiana simu?Uyo.anakufaa sana shida yako.wewe ni moja unataka kumuoa yeye na simu yake
Mkuu jaribu kuvaa viatu vyangu, ungekua ww ungefanyaje?
upo nje ya mada kabisaMi kiukweli sijui hata nampendaga nani au nipo nanani
Wajinga hawaishi kwenye mapenzi sababu kuna wajanja hufanya wengine wajinga.Duniani wajinga hawaishi
Wakuu
Nimekua kwenye uhusiano na binti
Ni takribani mwezi wa nane sasa,
Wakuu siwezi kuficha huyu binti ananipenda sana tena sana
Amekua akinitafuta mara kwa mara hata nikiwa kaazini kunijulia hali, hataki niende kazini bila kumuaga, au nikirudi nimtumie sms kua nimerudi salama,
Anakuja kwangu mara kwa mara kunijulia hali,
Si kwamba anafanya hivu kwa kuigiza maana hata pesa sio kwamba namhonga pesa ndefu,
Ni pesa ya kawaida tu ninayompa na hana tabia ya kuniomba pesa mara kwa mara,
Sasa ishu kubwa ni moja,
Huyu binti amekua na tabia ya kua kwenye mahusiano na wanaume wengine,
Siku moja nilishika simu yake nikakuta charting zake na mwanaume mwingine aliyeonekana kuwa mty wake,
Nilimuita binti nikamueleza kwanini hakutaka kuniambia kua anamahusiano na mtu mwingine?
Alilia sana na akanibembeleza akadai nimsamehe kwani yule si mtu wake kiuhalisi ananipenda mimi na hawezi kuni cheat yule anamchora tu,
Nikamsamehe siku hiyo ikapita,
Mara ya pili huyu binti alikua amelazwa hospitali nilipoenda kumuona akanipa simu nimshikie aisee nilikuta sms karibu za wanaume watatu wote wanaonekana wana mahusuano nae,
Nikasubiri aruhusiwe hospitali nikamuita nikamueleza
Nilikua na jazba sana nikamwambia kama vipi kila mtu ashike zake maana sioni mapenzi hapo zaidi ananichora tu na ni mnafiki,
Aisee nilipomueleza hivyo alilia sana akaniambia anajitahidi sana kushinda majaribu ila anajikuta anafeli ila kiuhalisia ananipenda mimi na yuko tayari kuolewa na mimi maana mimi ndo chaguo lake,
Sio siri siku hiyo alilia sana mpaka nikamuonea huruma mimi mwenyewe ikabidi nianze kumbembeleza,
Hilo likapita
Juzi nilikua natoka kazini mida ya saa moja jioni nilimkuta yuko amekaa kwenye bodaboda na mwanaume na boda bodda imepaki na imezima taa,
Nikapita kimya kimya lakini aliniona akaniita sikumuongelesha nikapitiliza,
Nilipofika nyumbani akanitafuta nikamwambia tena kuhusu nilivomkuta akanieleza huyo ni boda boda tu na hana mahusiano nae,
Sasa leo nilikua nae nimekuja kushika simu yake ameinyakua haraka haraka nilipomuuliza akajiuma uma nikajua alikua anaficha tuu nisikague vilivyomo ndani,
Sasa mimi nimeona kama huyu mi hanifai kabisa kua mke wangu maana nahisi huko mbeleni ntakuja hata kumuua mimi mamana kwa sasa simchukulii hatua yoyote kwakua bado ni mpenzi wangu tu sijamuoa na wala hatujatambulishana,
Sasa ishu ni kwamba kumuacha nataka lakini nashindwa kwani mimi kumpenda nilimpenda kweli na anaonekana ananijali sana,
Nikitaka kumuacha analialia mno hadi namuonea huruma,
Kuna wakati nawaza labda ametupanga anatuchora tu,
Lakini nawaza mbona mimi amenikomalia wakati hata simpi hela kubwa yani unaweza kukuta ananiomba buku mbili au buki tano
Au hata mwezi mzima nikampa elfu ishirini tu?
Wakuu naombeni ushauri nitumie njia gani mpaka nimuache kabisa?
Ameniganda kama kupe, ila kashindwa kubadili tabia kabisa
Ndiyondo ushauri wako huo?