You're so fucken kwaiyo kutokuombwa pesa ndyo anakufaa acha kujaribu sumu kwa ulimi alafu machozi ya MTU hayafichi uchafu aliofanya owa apo au ngoja apate mimba ya mwingine ubebeshwe zigo uleee badaye uje kulia uku wakati dalili ushaziona mapema alafu MTU haachwi kwa kuambiwa kimyakimya unatafuta mwingine yeye unampotezea atajiongeza mwenyewe acha kupenda mademu kitonga kwasababu ya kupata mbunye kiurahisi utakuja kulia bdaye. Mwanamke au mwanaume asiyeweza kujieshmui kwa kuchati na jinsi tofauti na yake hisia za kimapenzi uyo ni Malaya tu kama vicheche wengine
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.