Tommy 911
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 644
- 582
Ma sister si huwa hawatuhusiw kufany ngono au [emoji854][emoji854]Ahsante mkuu Kwa uzalendo wa kiroho, huu ushauri ni mzuri, niko tayari kumtwaa akipata ujauzito itakuwa poa zaidi tutamalizia hatua zilizo bakia.