Nahiitaji ushauri kuna jambo linanisumbua

Hahah bro stress zitakuja zikuue yaani umekaa hapo umeshajitengenezea picha namna navyofanana ninavyoishi na kama nina hasara kwa taifa au sina?

Humu hatupo kuthibitishiana ubora wetu ktk familia zetu au kwa taifa kila mtu ana maisha yake ni siri yake na mimi sitapingana na mawazo yako.
 
Hii mbinu nimeitumia nilitoboa masters yangu..

Ila kwenye masomo yangu undergraduate sikuwai sap ila kwenye post graduate degree nili sap mara moja

Kazi yangu ni busy mnoo + familia , muda wa kusoma tena masomo magumu hapa sizungumzii masomo ya social science unaweza ukaingia na point za kuchechemea ukajibu swali☺️😊

Unakumbuka ile slogan ya MAHUBIRI YALIYO JAZA VIPEPERUSHI DAR NZIMA IMANI, UPENDO NA MIUJIZA

ndio kilinitokea Mimi nili 🎓 graduate programs mzee kwa mbinde ile PESA nilitamani ningenunuaga hata BODA BODA zangu. Maana kwenye research nilipata supervisor mkuda mpaka ALIPO hamishwa ndipo NIKAPATA supervisor mzurii sana sanaa nilimaliza ndani ya muda

Inaitaji commitment sana kusoma ukiwa na KAZI NGUMU NGUMU
 
Shukran Mkuu na Mimi nitakua kama wewe
 
Hongera sana mkuu , hakika elimu inahitaji brutal discipline na uwezo wa ku manage burnout.
 
usisome bila kibali cha mwajiri, itakugharimu ukigundulika
 
Mkuu kama nafasi zipo naomba uniunganishe mimi nifanye mimi hiyo kazi
 
Shukran Mkuu na Mimi nitakua kama wewe
Usisafirie nyota ya mwenzio. Chukua ushauri halafu ujiongeze na za kwako.
Nimewahi kuona polisi aliyeacha kazi na kujiunga masomo ya Sheria Ngazi ya Degree halafu akajiunga School of Law. Kwa sasa hivi ni Wakili msomi amejiajiri mwenyewe na Ofisini kwake wateja hawaishi. Mwombe Mungu akufungulie njia (kama ww ni mtu wa imani).
 
Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…